Nimepata Hawara

Nimepata Hawara

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,001
Wakuu wana Chit Chat,jana nilikuja hapa nikitafuta wa kujivinjari naye.
Nashukuru kwa wote walio respond kwa PM.
Nimempata tayari,hivyo PM kwa ajili ya suala hilo zinatosha.
Wasalaam!
 
Haina wivu hiyo..ku-share mwanzo mwisho ndo mpango mzima!!
 
bibie sweetlady shosti alikuja humu akitafuta hawara kampata ni uungwana kumpongeza akiumizwa akarud tutampa pole
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia bana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom