UDSM Kuajiri Bursar bila kufuata taratibu za ajira

gongolamboto

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
1,182
564
Kuna tetesi kwamba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kina mpango wa kutoa ajira ya Bursar bila kufuata taratibu za ajira. Habari nilizozipata toka kwenye vyanzo vya uhakika zinasema lile tangazo la post hiyo lilikuwa kanyaboya tu kwani kuna mtu aliandaliwa kuchukua nafasi hiyo. Mtu huyo ambaye atapatiwa hiyo nafasi hakuwa na qualification hadi deadline ya kupeleka maombi ilipofika. Amepata CPA baada ya deadline na kupeleka kuambiwa kupeleka barua na mkubwa mmoja ambaye ni kabila lake. Inteview ilifanyika lakini majibu ya interview yalikuwa tayari yameandaliwa. TAKUKURU MPO????
 
Back
Top Bottom