Ni moyoWana jamvi hivi ni nini chanzo cha kupenda? Mawazo yenu tafadhali!
Ni moyo
unaona mbali mkuu kinomaNi moyo
Mtoa mada hiki unachokiuliza elewa sie wengine tumetokakumbwa na misukosuko na mitihani ya mapenzi, leo hiihii mbichiiiii !
So sredi yako yatukumbusha maumivu si haba!
Hivi moyo una macho kweli?
Na kumtamani mtu je? Nayo ni moyo au ni nini?
sehemu za siri....