Natafuta Hawara

Natafuta Hawara

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
2,001
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
UPDATES:
Hawara amepatikana,na shughuli ya kupokea PM imefungwa.
 
Itume tena,nadhani kwa sababu nilikuwa sijafikisha post 5 PM ilikuwa disabled


Now you are talking,hebu fanya fanya basi uufute huu uzi maana watakuwa wengi watakaokutumia PM kisha hutonifaidi vizuri ,yaani hapo hesabia kuwa umeshapata hawara na ninavyopenda ugoni wee,hebu soma sign yangu hapo chini mama....
 
Mjomba taratibu mjomba,unanitakia maisha mema na mke wa mtu,au umesahau kuwa hapa mimi nitakuwa mwizi..??

Mkuu mbona hapo shwari hata kama unaiba..Uzuri mrembo mwenyewe ndiyo ametangaza ndoa, so worry out kuwa na amani mkuu.
 
Hahahahahahahahahaha
naona paka mweusi unajitahidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom