mwanza noma.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwanza noma....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Oct 6, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  niko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ndiyo kusema kijana ufike Mwz, then usiwasiliane na sie vigogo wa Mwz ?
  Unaogopa nini ? Ama umekuja kumalizia kuuza mzigo wa zile Arv fake ?
  N'shakutilia shaka ujue ?
   
 3. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kweli? Karibu ujue kilichomtoa Erickb52 manyoya.....for further info wasiliana na charminglady
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Huko Mwanza kunani? maana wanaoenda huko sifa zao kama zinafanana hivi!!!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mtoa mada just take a short glance to your Pm, there's my kifurushi .
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mkuu Bishanga usemayo mwanza ni balaa mie nilikuwa huko ths past week i enjoyed 2th maximum
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  maskini mke wangu sijui km atasalimika maana wageni wa mwanza wamezidi baada ya kujua nimeondoka, ilikuwa Erickb52 mara tena leo Bishanga... ivi charminglady ntampata salama kweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu, maneno ya Mwz mbona mabwaku!
  Tunu lukuki ! Labda nikupe moja ya tunu tulizonazo.
  Mathalan huku tunae samaki anaeboresha yale mambo yetu, ziada ya Pweza x2!
  Kiasi tunafuta medics za ku'reduce speed km per hour !
  That's why nachelea kumkaribisha mtu kama Rutta najua akija akaila hiyo mifish, Madame atarudisha brideprice !
  Au Aspirin akija huku ule mtandao wake utafariki !
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Hahaha...huyo samaki gani tufanye mpango wa kumfuga huku maeneo ya pwani
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Anaitwa Ningu! Huko hawezi mea due vary geographical factors !
  Pole weee!
   
 11. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,147
  Likes Received: 23,824
  Trophy Points: 280
  Hivi hao samaki bado wanapatikana?. Ila napenda sana samaki aina ya Mbete!.
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Wacha nimtafute hommie wangu wakati ndio sasa tukatembee Mwanza,usiwe na wasiwasi C6 tutafikia mkolani nimejenga pale nadhani itakuwa ni mbali kidogo na unapoishi..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndiyo rock city jiji la maraha.
  Ila wakuu muwe na rahadhari.
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Umekimbia kusutwa?
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi charminglady bd ni mkeo eeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahahaha
  mwanza,mwanza
  huyo samaki naomba usimpatie Bishanga maana ata uwa mtu!
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwanza Bishanga mwenyewe nimepata tetesi kafikia Igombe nje ya mji , kule guest room buku 3!
  Sina hakika kama ntakutana nae, kwa kua si rahisi mi kufika kule, barabara mbovu na mie gari yangu iko chini sana, sijaiwekea specer za kuinyanyua.
   
 19. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  We nikama fisi hukomo hata ufanyweje

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  duh, nahic umekimbia majibu angaza. btw karibu ila uwe na helmet. make tulichomfanya Erickb52 ni cha mtoto njoo kichwa kichwa tu.
  Wapi Elizabeth Dominic, kuna kitu kimevamia jiji na hajitatiw.a adabu. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...