...Nasikia Ukuta unagongwa gongwa upande wa Jiran yangu?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Nimejilaza kitandani Mwangu hapa,Lakini ukuta Ambao unatenganisha vyumba..Unagongwa gongwa ..kwa uSTUDY mkubwa...sijui majirani zangu wanagombana...au ndo...kupaka rangi ukuta...
 
Angalia asije akawa ni yule mwizi wako anamnyemelea Yfu wako..chukua silaha yako na utupie kitu chamber tayari kwa lolote mkuu.
 
Aiseeee babaa labda wanabandika picha ukutani au wanatowa mabui bui ukutani we lala 2
 
Hili ni swali au kitendawili , au puzzle ama chemshabongo au ni homework ?
 
Ah! Watu walikuwa wanabreak kanuni namba 6 ya kwenye baibo. Kwanini unalala mapema hivyo mkuu zubedayo_mchuzi?
 
Last edited by a moderator:
watakua wanagombana kiutu uzima....sasa na ww gonga wako tena kwa nguvu zaidi yao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom