Haiti
Plus Says Lauren Hill Told Him She Don't Think He Can Make Hits Any More!
CLICK THE VID HERE:--->http://www.worldstarhiphop.com/videos/video.php?v=wshhQy1I7TH2jpDVaUsX
Kuna habari kuwa aliyekuwa kocha msaidizi wa timu kongwe ya soka Tanzania Simba Sports Club, Jamhuri Kiwelo (Julio Alberto) ametimuliwa. Kwa mujibu wa taarifa zilizorushwa hewani na kipindi cha...
Habari zilizopatikana toka Bukoba zinaeleza kwamba Yanga imeumizwa na Kagera Sukari goli 2 bila majibu.
Wakati huo huo habari zinaeleza kuwa nao Simba nao wamelia kwa Azam goli mbili hizo hizo...
Blatter wants foreign owner rules
BBC Sports
Fifa president Sepp Blatter has called for stricter rules on foreign ownership of clubs in the UK and abroad.
"Something has to be done...
Aldridge raises Liverpool concern
By Russell Barder
BBC Sport
Aldridge has given his backing to a Liverpool fans bid to takeover the club
John Aldridge fears for Liverpool's future...
BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) litaishauri na kuunga mkono Tanzania kuwa mwenyeji kwa mara ya kwanza wa Kombe la Afrika kwa wachezaji wasio wakulipwa.
Michuano hiyo ambayo...
Watanzania wengi haswa wale wapenzi wa mpira wa miguu haswa kandanda wamekuwa wakijiuliza ni lini wachezaji wetu wataenda kucheza nchi za watu katika ligi mbali mbali za kulipwa ?
Jibu hilo...
TIMU ya taifa ya netiboli Tanzania Ikulu Netball Team imeondoka nchini jana kwenda Afrika Kusini kushiriki mashindano ya kusaka viwango kwa timu zitakazoshiriki mashindano ya Kombe la Dunia la...
AIG is not a US company, 80% of their business is outside. So why is US populace bailing them out? Or if it is such a sweet deal, why doesn't ECB ask for a piece of the action?
The stench is...
Chama cha Riadha Tanzania (RT), limesema baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anataka kusaidia mchezo huo kwa kutafuta kocha wa kigeni, chama hicho kimesema hakitakurupuka badala yake hivi sasa...
TFF hasara mil. 71/-
MECHI YA STARS, GHANA
na Dina Ismail
MECHI ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, na Ghana, The Black Stars, iliyopigwa...
Ni mara chache watanzania tunapata nafasi ya kushangilia mwana riadha wetu. Jana kwa kushika nafasi ya nne huko Stuttgart umenifanya nipate faraja. Pengine hao viongozi wetu wangewatilia maanani...
Inasikitisha kuona badala ya kuandika na kuzitangaza timu changa zinazofanya vizuri katika Premier Vodacom.
Mfano jana KAGERA SUGAR ilicheza na VILLA SQUARD lakini vyombo vya habari havikuipa...
Mchezaji mpya wa Timu ya Manchester United Dimitar Berbetov ametakiwa kupunguza kama si kuacha kabisa tabia yake ya uvutaji sigara kama anataka kuendelea kupata namba kwa muda mrefu kwenye kikosi...
Kwa wadau wa Tennis..Mambo ndio yanaelekea Ukingoni Huko kwenye US Open bado matop seed wanasumbua kupunguzana ili kijogoo apatikane on sunday 7-9-2008.
Mpaka sasa Nadal amesonga mbele Semi...
Kwa wapenda soka wote, naanzisha thread hii ili tuwezekupashana na kujadili issue zote za usajili wa msimu ujao, tusijilimit kwenye premier ligue tu, tupeane habari za Serie A, La Liga...
It is the kind of news that would make you choke on your breakfast cereal but, believe it or not, England are champions of the world albeit in the International Gay and Lesbian Football...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.