Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ililipa kisasi baada ya kuifunga Msumbiji `The Mambas` kwa bao 1-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja mkuu wa taifa...
Uoungozi wa klabu ya soka ya Yanga umesema kuwa timu yao haitashiriki mashindano ya Kombe la Tusker, kutokana na wachezaji wao wengi kuwepo kwenye kikosi cha timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars...
Klabu ya soka ya Simba, imewaonya wapiga kura wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, kuwa makini na baadhi ya wagombea waliojitokeza kwenye kinyang`anyiro cha uchaguzi wao mkuu utakaofanyika mwezi...
FA charges Drogba over coin throw
BBC Sports
Drogba threw the coin back into a section of Burnley supporters
Chelsea striker Didier Drogba has been charged with violent conduct by the...
Naona leo siku si nzuri kwa Liverpool so far mechi ni 4-1(Spurs wanaongoza) na hili deni lao.
Premier League takeover broker Keith Harris believes Liverpool could go into financial meltdown in...
Tanzania imepanda katika viwango vya soka vya Shirikisho la Dunia la Soka (FIFA) kwa mwezi wa Oktoba. Kwa mujibu wa tovuti ya Fifa Tanzania imepanda hadi nafasi ya 110 kutoka nafasi ya 117 mwezi...
F1
Kalenda ya 2008.
01. 2008 FORMULA 1 ING AUSTRALIAN GRAND PRIX (Melbourne) 14 - 16 Mar
02. 2008 FORMULA 1 PETRONAS MALAYSIAN GRAND PRIX (Kuala Lumpur) 21 - 23 Mar
03. 2008...
Wamarekani Kuibeba Soka Ya Tanzania
Na Jessca Nangawe
MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Marekani cha The New England Revolution, Craig Tornberg amewasili nchini kwa lengo la kutengeneza...
09/11 00:00 Torino vs Palermo
09/11 02:30 Bolognavs Roma
09/11 21:00 Catania vs Cagliari
09/11 21:00 Chievo vs Juventus
09/11 21:00 Fiorentina vs Atalanta
09/11 21:00 Genoavs Reggina
09/11...
Date::11/2/2008
Tanzania yatoa chipukizi kucheza soka ya kulipwa Ulaya
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
HATIMAYE Tanzania imetoa nyota watatu wa mpango wa Vodacom Global Soccer Star (VGSS)...
Nimeshitushwa na makala mbalimbali kwenye magazeti ya wiki kuhusiana na makato ya mechi mbali mbali kwenye ligi ya vodacom. Mfano katika mechi ya Simba na Yanga, TFF wamechukua Shs 43m ili kufidia...
Gwiji la Soka Duniani, Diego Armando Maradona anatarajiwa kushika Mikoba ya kukinoa kikinoa kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina kuelekea Kombe la Dunia 2010 nchini Afrika ya Kusini.
You can...
Ndugu wa pale Tandale kwa Mtogore, manzese kwa mfuga mbwa na kwingineko ambako huduma ya luninga inapatikana kwa jumuiya na pengne mnajiuliza kombe la dunia kule bondeni itauwaje....msihofu, FIFA...
TFF wametoa taarifa ya mapato yaliyopatikana katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga kuwa ni TZS 239 millioni na jumla ya watu 52,890walishuhudia mpambano huo wa kukata na shoka. Idadi hii...
Simba: Hatuchezi tena na Yanga
Na Suleiman Mbuguni
UONGOZI wa klabu ya Simba umetishia kutocheza mechi na watani wao wa jadi, Yanga, endapo mechi zao zitaendelea kuchezeshwa na waamuzi wa...
Mapato siri Yanga, Simba, TFF
Mahudhurio Yanga, Simba yaficha vurugu
Mwandishi Wetu
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania, TFF likisubiriwa leo kutoa taarifa ya mapato ya mechi ya...
The San Francisco 49ers have already made a coaching change this season. Now they apparently have their eyes on an even more high-profile front office move.
The 49ers have expressed interest in...
Manchester City are on top of premier League with Arsenal after 3-1 win against New Castle United. The Table might change this afternoon when Arsenal take West Ham away from home.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.