Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Kwa wapenda soka wote, naanzisha thread hii ili tuwezekupashana na kujadili issue zote za usajili wa msimu ujao, tusijilimit kwenye premier ligue tu, tupeane habari za Serie A, La Liga, Bundesliga, Ligue 1, etc
Kwa kulianzisha tu mimi nakupa...
Luca Modric (Midfielder)
Dinamo Zagreb to Spurs-£15.8m
Jose Bosingwa(Defender)
FC Porto to Chelsia-£16.2m
Kwa kulianzisha tu mimi nakupa...
Luca Modric (Midfielder)
Dinamo Zagreb to Spurs-£15.8m
Jose Bosingwa(Defender)
FC Porto to Chelsia-£16.2m