Hongera Zakia Mrisho Mohamed

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
8,940
6,855
Ni mara chache watanzania tunapata nafasi ya kushangilia mwana riadha wetu. Jana kwa kushika nafasi ya nne huko Stuttgart umenifanya nipate faraja. Pengine hao viongozi wetu wangewatilia maanani mnaoshindana aibu iliyotukuta Beijing isingetupata. Hongera sana, binti wa Kitanzania. Usikate tamaa na pengine huko LOndon utatuondelea aibu.
 
Zakia ana rekodi nzuri kwenye grand prix, na ndio mojawapo ya sababu ya kuchaguliwa kwenye Timu ya Olimpiki... Hata hivyo bado anahitaji kujichua zaidi, kwenye olimpiki(Beijing) alitolewa kwenye heat baada ya kushika nafasi ya 12.
 
Back
Top Bottom