Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

  • Redirect
Rip mchezaji mkubwa.Tutakumiss sana! --- Former Zambia and TP Mazembe star, Rainford Kalaba (37), has tragically died following a car accident earlier today, according to reports from his former...
2 Reactions
Replies
Views
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya...
13 Reactions
86 Replies
4K Views
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39..... Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003. --- Beki wa zamani...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Ameen --- Klabu ya Soka ya Azam, imetangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu hiyo, Mwanandi Mwankemwa, kilichotokea leo jioni katika...
6 Reactions
17 Replies
878 Views
Mwanariadha Kelvin Kiptum aliyevunja rekodi ya mbio za Marathon duniani hivi karibuni mwaka jana 2023, afariki dunia kwa ajali ya gari. R.I.P World marathon record holder and London Marathon...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Imani Madega amefariki dunia leo nyumbani kwake Chalinze, Mkoa wa Pwani. Madega anatarajiwa kuzikwa kesho Chalinze nyumbani kwake. Kiongozi huyo atakumbukwa...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
  • Redirect
Hii ndio Taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa . Inadaiwa kwamba Madega amefariki akiwa nyumbani kwake Chalinze . Apumzike kwa Amani
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa kutoka SkySports imethibitisha ======= Terry Venables was the man at the helm for England's unforgettable run at Euro 96; Former QPR, Tottenham and Barcelona manager died aged 80; Gary...
0 Reactions
8 Replies
485 Views
Taarifa kutoka SkySports imedai kwamba Mchezaji huyo wa zamani wa Ujerumani Amefariki Dunia . Nachukua nafasi hii kuwapa pole Wafiwa wote popote walipo , Amina . --- Tributes have been paid to...
1 Reactions
8 Replies
662 Views
[emoji3520]TANZIA[emoji3520] Ndg yetu Mustapha Nzogela, Mwanachama wa Yanga na mmoja wa waasisi wa mwanzo kabisa wa Tawi la Yanga Pamoja Mbezi, alifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa...
12 Reactions
155 Replies
16K Views
Kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona na Inter Milan Luis Suarez, mwanasoka pekee wa kiume aliyezaliwa nchini Uhispania kushinda Ballon D'Or, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 siku ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shabiki wa Yanga aitwae Jane mkazi wa Bwilingu wilayani Chalinze amefariki dunia wakati akitazama mchezo wa jana kati ya Simba na Yanga. Inadaiwa marehemu alifikwa na umauti wakati mpira ukiwa...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na...
18 Reactions
225 Replies
21K Views
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria. Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere Pia...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi...
21 Reactions
240 Replies
11K Views
Back
Top Bottom