Mashine Essien nje kwa miezi mitano au zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashine Essien nje kwa miezi mitano au zaidi

Discussion in 'Sports' started by Kweli, Sep 9, 2008.

 1. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Dah. Pole zake. Ingawa mimi sio mshabiki wa Chelsea, lakini its enjoyable to watch Essien enforcing the midfield.
   
 3. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Eeeeeee Muumba tunakuomba majeruhi haya yasitokee kwa timu ya Wenger,kwani hata hiyo nafasi ya nne tutaikosa
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Obi anaweza kusimama kama kiungo mkabaji, pia wanao Lampard na Ballack and DECO!!!
   
 5. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
 6. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  soka la uingereza nimeishiwa nalo hamu limekaa kibiashara ashara sana hakuna ladha siku hizi.......hivi niliskia yule tajiri alietaka kuinunua Man U na kuigeuza timu ya Basketball iishia wapi?.....

  anyway ninavyokumbuka "The Bison" alikuwa kiungo mshambuliaji alipokuwa Bastia na ndio maana alikuwa mfungaji mzuri sana,hata alipoamia Lyon aling'ara sana akiwa nyuma ya mshambuliaji mmoja.

  Morinyo ndio aliomgeuza na kuanza kucheza kiungo mkabaji ili Lampard aendelee kumiliki dimba kubwa akiwa nyuma ya washambuliaji wa2.

  Maiko ni mchezaji anaemudu nafasi zote kasoro kipa basi kwa uzoefu wangu wa zamani Chelsii anaweza kumiliki nafasi ya kiungo mkabaji ni OBI anakaba,ana nguvu anapasi za uhakika.

  mwenye swali?
   
 8. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Ni pigo kubwa kwa Blues ESSIEN anaweza cheza full back,central defender,defensive midfielder and attacking midfielder
  Huyo Mikel mvuta bangi tu wajiandae kucheza pungufu kwani anacheza rafu bila sababu
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  It is big blow for Chelsea fans, thou have a lot of players who can equally cover up ie Fereira, Ivanovic, Alex, Belleti, Ballack and the promising youngster Jimmy Smith, he will be missed as all these are nor Essien...
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ongea kitaalam....kwanini Obi ashindwe nafasi wakati kuna wakati alikuwa anamuweka benchi Makelele....
   
 11. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Big blow to them honest!!...let him get well soon!
   
 12. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Wewe OBI hawezi kumuweka benchi MAKELELE sema umri tu umeeenda
  Tatizo la OBI anacheza rafu zisizo na mpango na huwezi kumlinganisha na ESSIEN huyo OBI anaweza kucheza beki? Kafunga magoli 3 tangu aje na huu ni msimu wake wa 3
  wakati mwenzie kafunga 38
   
 13. M

  Masatu JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Makelele kafunga 2 tu... then whos better?
   
 14. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ehh mola weee hebu fanya basi akae nje msimu mzima alafu na kule kwa wenger tuumizie kale ka fabregas tena kwa miezi mi 3..ili tujishindie sie man utd ubingwa wetu by february
   
 15. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu mtaalamu kuna dogo Wallcot anatoka cheche! pia VanPersie ameonekana kupoa majeruhi yaliyokuwa yakimsumbua siku nyingi vilevile usimsahau Eduardo ambae anatarajiwa kurudi kabla ya christmas!
   
 16. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  hehehe mie sijaongelea hivyo kwa kutaja majina ya wachezaji tu,i know hao woote wanaweza wakawepo kwenye timu lakini angalia mchango wao yupi ni muhimu zaidi...ila nyie timu yenu uzuri sio hata ya kuogopewa cz ni kawaida yenu kuchemka ikifikia muda flan flan...
   
 17. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Am just curious....Hivi uyo Makelele ambaye yuko kwenye Debate yenu si ameshakwisha kwenda PSG/Marseille (am nt sure of the two)?

  Kwa maoni yangu Makelele is better, tatizo Obi hajakomaa (kiakili0, he normally be fool sometime, akipata kocha mzuri wa kumtuliza atakuja kuwa mzuri zaidi ya hivi tunavyomuona leo. Ni mtizamo tu!
   
 18. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Uzuri wa timu yetu tofauti na timu yenu munategemea wachezaji wawili watatu, sisi hatutegemei majina, Cesc ni team player kama mwengine yoyote iwe Ade, Rosicky ama Kolo. Sisi tunacheza kitimu, na daima tutacheza entertaining football, Nyinyi United kama Cristiano angelipata majeraha nambie mngemaliza nafasi ya ngapi season ilopita? nadhani ya tano, sisi hatukuwa na Robin ama Dudu kwa kipindi kirefu na ndio sababu tulimaliza vibaya, ama kuchemka kama unavyodai, sasa season hii wako fit plus tuna-unleash young Theo tutaona matokeo, uyo Cesc wakitutangazia dau la kueleweka tutamtoa vilevile, si walikwenda akina Henry na Vieira? Mzee Wenger hawezi kukubali mchezaji yoyote ampandie kichwani,sio nyinyi Cristiano juu ya kukutieni roho na kukwambieni Live hataki timu mumemlazimisha kwa msimu mmoja!! tuone season hii kama ata-perfom kama mwaka jana.
   
 19. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  sijakataa kuwa mlikua na majeruhi bwana musee lakini tatizo ni kuwa that has been like excuse yenu misimu yoote,mwaanzaga vizuri halafu kufika kati kati mwachemka na kuanza poteza mwelekeo.sio msimu mmoja tu sasa since kocha ni huyo huyo kwanini asifikirie kurekebisha hilo??kauza ma viungo wangapi sijui wazuri kaishia kumnunua nasri tu kuwa replace hela nyingine kapeleka wapi sijui kwa kina silver.wa man utd halafu itafikia stage kati kati ya msimu kiuongo wenu mmoja akiumia tu,disaster,mwaanza toa draw hata mkija cheza na maji maji ya bongo!kwanini msiwe kama timu zingine??ona chelsea essien kaumia wana backup solution,nyie je?hao woote uliowataja nani anaweza cheza nafasi ya kiuongo vyema pindi fabregas kaumia lets say miezi mi 3 nje?
   
 20. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  Nakubaliana na wewe hapa mtani, ila sometime ukiwa na safu ya mashambulizi kali inafidia na kuzifanya timu ku-deffend deep.
   
Loading...