Baada ya Maxcimo kuchezeshwa Nzawisa na Chamukwale na kukubali kipigocha bao mbili bila na Bakongo, aliibuka jana na kudai kuwa wale mashabiki ambao walijitoa kimasomaso na kuibeza timu yake...
There is one sure thing: Euro 2008 in Austria and Switzerland starts with the opening fixture, the first game taking place on 7 June 2008 at Basle's St Jakob Park.
Another sure thing is that...
Champions League - Arsenal fan hangs himself
Eurosport - Wed, 06 May 15:38:00 2009
An Arsenal fan in football-mad Kenya hanged himself wearing his beloved team's shirt after their defeat to...
This is exactly what I would have said about this fight, najiandaa kukesha usiku wa leo, this is probably going to be the fight of the year, expect a lot of bomb explosions.....
I could provide...
Winga wa Yanga ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa 'Taifa Stars', Mrisho Ngassa ameanza majaribio katika timu ya West Ham United ya nchini Uingereza, lakini kukiwa na wachezaji wengi...
Wakuu heshima mbele. Nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana jinsi gani makampuni mbali mbali yanavyojitokeza kudhamini timu kubwa mbili za soka Tanzania yaani Simba na Yanga. Si jambo baya ingawa...
Are you a professional African journalist or do you employ African journalists that could benefit from international training? Does your publication or radio station wish to receive free...
Je, ndoto ya Manchester United kuchukua makombe manne (4) mwaka huu kuanza kutimia leo?
Tuwe sote, bado masaa machache..
Kila la kheir Mashetani Wekundu.
Kenya face a nervous wait to see whether they will realise their dream of playing in the IRB Junior World Rugby Trophy final after securing a 67-0 victory with the crucial bonus point over Cayman...
Mimi sikubalianai na hii PFA award ya mwaka huu, Ryan Giggs? A player who has only started 12 games and scored one goal this season! Cha kushangaza ni kwamba hii award inatolewa kwa kura...
Nakumbuka huyu jamaa alikuwa anatisha kweli alivyokuwa Milan. Lakini alipojitusi nakwenda Chelsea, akapigwa benchi mpaka basi. Sasa sijui alipoteza confidence au vipi....??
Shevchenko to end up...
Jürgen Klinsmann sacked by Bayern Munich
• Former Germany coach fails to meet club's high expectations
• Jupp Heynckes to take charge for remainder of season
Jurgen Klinsmann looks...
yule straika hatari wa yanga ya daressalaam aliyetoa mchango mkubwa kule kampala, uganda na kupelekea yanga kuchukua ubingwa wa afrika mashariki na kati mwaka 1999 yupo wapi kwa sasa?
Huwa yule...
Alikuwa raisi wa kwanza wa Zenj. Nijuavyo mimi mzee huyu ndiye aliyejenga majengo ya klabu hizi. Jana tarehe 7/4/09 ilikuwa kumbukumbu ya kifo chake. Yanga v/s Al ahly mapato milioni mia mbili...
Sammy Wanjiru wins London marathon in course record time
Sammy Wanjiru, second left, crosses Tower Bridge on his way to victory in the London marathon. Photograph: Felipe Trueba/EPA...
Tangu mwaka 2007 nimelipia kadi kiasi cha (TZS 24,000) lakini mpaka leo sija pata kadi matokeo yake nikatumiwa namba eti kadi itakuwa na namba 1689... halafu viongozi wana lalamika hakuna pesa...
Date::4/22/2009
Wachezaji watatu wasubiri safari ya majaribio Vancouver White Caps
Na Dorice Malyaga
Mwananchi
WACHEZAJI Zahoro Pazi, Nadir Haroub 'Cannavaro' na Nizar Khalfan...
habari zilizotufikia hivi punde zinasema yule mzee wetu wa kutabiri sheikh yahaya hussein ameitabiria ushindi timu ya yanga kwa mabao 2-1 huku mchezaji mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu bila kutaja...
Wana JF, kuna hili suala la mapato yanayopatikana katika mechi zinazochezwa katika uwanja mpya wa Taifa, je tunachoelezwa na Mwakalebela ndicho hasa kilichopatikana au kuna watu wanafanya usanii???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.