FA Cup: Man U vs Everton

Frankly speaking, Man U mmesimama imara katika mechi hii. Nawaombea mfungwe ili tupate kibonde fainali hehehehe

Tusubirie dk 90 ila wakishinda powa! Jana mmewahuzunisha watoto wa Wenger jamani!..Ila na nyie mpo imara,no doubt kikosi chenu kimetulia na mdachi!
 
Dakika ya 30 kipindi cha kwanza... Man Utd 0 - Everton 0.

I pray for Man U's defeat :)
 
Tusubirie dk 90 ila wakishinda powa! Jana mmewahuzunisha watoto wa Wenger jamani!..Ila na nyie mpo imara,no doubt kikosi chenu kimetulia na mdachi!
Sure,

Si kama nawatakia mabaya Man kwa sababu hawawezi, hapana... Ila kwenye "The big 4 Arsenal hawastahili kwa kipindi hiki" teh teh teh. Chelsea walicheza kama wanawafundisha soka watoto wale. Halaf wanaogopa kuguswa... Soon watakuwa na timu nzuri lakini si sasa.
 
HT Man Utd-0 Everton-0
R.d. Silva Man utd kadi ya njano
C.A. Tevez Man utd Kadi ya njano
Wote wapinzani Wetu Everton Na Man Utd Lakini Bora Wafungwe Na naomba Watolewe man Maana Siwapendi na hilo zee lao litaringa saan likicheza fainal
 
SAF leo kaamua kuwachezesha chipukizi wengi lakini nadhani anaweza kubadili mwelekeo kipindi cha pili.
 
Dakika ya 54 hiyo, Man U mnanusurika nusurika tu.

Bado Man U 0 - Everton 0
 
Dakika ya 67,

Park nje anaingia Paul Scholes upande wa Man Utd.

Man acheni kutegeshea penalt!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom