Yanga na simba wanamkumbuka karume?

AG

Member
Jun 11, 2007
82
55
Alikuwa raisi wa kwanza wa Zenj. Nijuavyo mimi mzee huyu ndiye aliyejenga majengo ya klabu hizi. Jana tarehe 7/4/09 ilikuwa kumbukumbu ya kifo chake. Yanga v/s Al ahly mapato milioni mia mbili, jamani hata kaubani tu? Mnyama wa msimbazi naye kimya,ama ni hizo mbio za kusaka mshindi wa pili, jamani ni AIBU, viongozi wa vilabu hivi hawajui mchango wa mzee huyu?
 
Mhhh!!! Point Mkuu Ni kweli Lakini Walafi Waliopo Madarakani hawakumbuki zilipotokea klabu hizi...Wanahendekeza matumbo yao tu..
 
Alikuwa raisi wa kwanza wa Zenj. Nijuavyo mimi mzee huyu ndiye aliyejenga majengo ya klabu hizi. Jana tarehe 7/4/09 ilikuwa kumbukumbu ya kifo chake. Yanga v/s Al ahly mapato milioni mia mbili, jamani hata kaubani tu? Mnyama wa msimbazi naye kimya,ama ni hizo mbio za kusaka mshindi wa pili, jamani ni AIBU, viongozi wa vilabu hivi hawajui mchango wa mzee huyu?
Habari ndio hiyo!
 
Back
Top Bottom