Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

LAS VEGAS (AP)—In just one round, Floyd Mayweather Jr. got a head butt, a kiss and a hug from Victor Ortiz. He responded with a right hand that ended a bizarre fight early. The end came just as...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Floyd Mayweather vs. Victor Ortiz: Live Round-by-Round Updates
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde Mwenyekiti wa chama cha soka Manispaa ya Temeke jijini Dsm, Bwana PETER STEPHEN MHINZI ametenguliwa uraia wake wa Tanzania baada ya uchunguzi wa kina kubaini kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnaikumbuka LEEDS UNITED! Ilikuwa inatisha enzi za kina Rio lkn ikaporomoka mpaka .... Sasa Asernal nayo inaelekea huko balaa gani hili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpaka sasa ruvu shooting 2-1 coastal uwanja wa mabatini mlandizi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Meneja wa uwanja wa michezo mjini Arusha Bwana Ngwabi amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu wa mapato ya uwanja huo.Uwanja wa michezo sheikh Amri Abeid ni miongoni mwa viwanja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yanga 1-0 Africa lyon mfungaji davies mwape updates yanga 1-1 Africa lyon dk 44
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Timu zitakazoshiriki kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwenye hatua ya makundi zina uhakika wa mgao wa Euro Milioni 7.2 kwa kila timu mgao ambao unatokana na mapato yanayopatikana toka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Inakaribia miaka 30 sasa tangu Tanzania ishiriki mara ya mwisho kwenye mashindano makubwa zaidi ya soka barani Afrika, CAN. Na kwa hali jinsi ilivyo kwasasa sidhani kama tunaweza kushiriki kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa, tukio la siku hizi mbili timu zetu kongwe za Simba na Yanga kucheza pale Chamazi zimenipa fikra ya kutaka kujua nikiwa shabiki wa timu hii Simba Sports Club. Kwa muda mrefu viongozi wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
sijui wanajisikiaje kutumia uwanja unaomilikiwa na klabu iliyoanzishwa miaka mitatu iliyopita wkt wao klabu zinakaribia karne nzima? Hawa watu kweli hata aibu hawana,duuh!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
yanga imeonesha ungangari kugomea jezi za vodacom kutokana na kuwa rangi nyekundu. Lakini hatuoni ikigomea rangi nyekundu na nyeupe ambazo zinatumiwa na watu wa huduma ya kwanza maarufu kama red...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sasa yanga mziki ndo umeanza baada ya kupata uwaja wa ukweli
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serial a: Juventus 4 parma 0
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu nyingi za ulaya naona zina wanyama ambao kidogo wanafanania na simba lakini sio simba. Miongoni mwa timu hizo ni Manchester United na Chelsea. Man wanamwita mnyama wao SHETANI MWEKUNDU, je...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Ona official website yao, last time ilikuwa updated July. Hii ni aibu sana kwa club yenye wapenzi duniani kote. www.yangasc.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NATAMANI KUSIKIA LIGI IMEISHA YA TANZANIA BARA KWA MSIMAMO HUU JAMANI SIJUI MAONI YENU
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu napenda tujumuike pamoja katika mada hii inayoendelea kwa sasa katika Star TV na itakamilika majira ya saa 3:00 ASUBUHI Tupo Live, weka maoni yako hapa na yatasomwa LIVE Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la Nou Camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya yaani Barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
  • Poll Poll
:msela:Following the English Premier league (BARCLAYS PREMIER) start-up this season of Manchester United and Chelsea, who do you think will dominate/win the race at the BIG MATCH this weekend?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom