Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ushindi walio upata Simba sc ni ushahidi kwamba wanaweza! jaman tuwaunge mkono bila kujali itikadi zetu za kitimu kwani inawakilisha taifa. With cofidence every thing is possible
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna siku nilicheki kipindi cha mahojiano cha George Weah na mwandishi, kuna baadhi ya clips walikuwa wanazionesha,Weah alicheza mipira ya ajabu sana, naona hata Ronadinho hajawahi kuvionesha...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Huyu mchezaji ni kati ya wachezaji wa kwanza kwanza wa afrika aliyewai kucheza mpira wa kikakpu USA. Yuko wapi siku hizi?
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Watanzania tuna kasumba mbaya sana ya kudharau vyetu na kutukuza vigeni tukiamini ni vizuri kuliko vyetu. Mbaya zaidi sasa hivi hata viongozi nao wanayo hii kasumba. Mwaka 1980 tuliposhiriki kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Pius Msekwa, amekutana na viongozi watatu wa chama hicho wanaotuhumiwa kwa ufisadi, katika utekelezaji wa uamuzi wa kujivua gamba uliofanywa na Mkutano wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Beefed-up Bolt labours to win on reappearance Before settling into his starting blocks here last night, Usain Bolt flexed his new Popeye muscles and mouthed to the television camera...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kawa mnene kwa kweli YouTube - ‪Despedida do Ronaldo - Brasil X Romênia - O Fenômeno em campo - dos 30 aos 47 do 1º tempo‬‏
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WACHEZAJI na viongozi wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars waliwasili juzi usiku wakitokea Bangui walipokuwa wakicheza mechi ya kuwania kufuzu Fainali za afrika zitakazoanyika mwakani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtizamo ambao sio timamu sana wabongo wengi tunafikiri soka ni mchezo maarufu sana,upande wa serikali ndio kabisa hakuna mipango endelevu kabisaa chukua mfano,tunawanunua makocha kwa pesa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Entire football team (From Senegal) being hunted by immigration officials after they disappear in France. They were due to fly home to Africa on Sunday, but haven’t been seen since leaving their...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuesday, 07 June 2011 LILLESTROM midfielder, Nosa Igiebor, has declared that the nation's U-23 team underrated Tanzania in last Sunday’s Olympic Games qualifier in Dar-es-Salaam which culminated...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
taifa staz inateremka leo dimbani kukutana na jamhuri ya africa ya kati huku kocha mkuu wa timu ya taifa Mr poulsen akijisafisha na kutotaka kubeba lawana m, huyu kocha amejihakikishia kabisa kuwa...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
Sosthenes Nyoni KLABU ya Yanga ipo katika hatua za mwisho kumsajili mshambuaji wa timu ya Mbabane Highlenders ya Swaziland, Mohamed Suleiman kuimarisha zaidi safu yake ya ushambuliaji msimu ujao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
source;mwananchi Clara Alphonce KIUNGO wa Simba Athuman Idd 'Chuji' amemshukuru kocha Mosses Basena kwa kurudisha kiwango chake huku Basena akisema kuwa kikosi chake kiko tayari kuwavaa DC...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FIFA to investigate betting patterns for Nigeria's 4-1 win against Argentina Published 12:22 04/06/11 By MirrorFootball (1) Recommend (1) FIFA are...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yet Tiger Woods is still the highest-paid athlete in the world – and it isn’t even a close call. Woods earned $75 million over the past 12 months, easily outdistancing second-ranked Kobe Bryant...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu hii kali ya Tukuyu Stars ilishiriki kwa mara ya kwanza ligi kuu mwaka 1986 na kuchukua ubingwa. Timu hii ilitisha bara na visiwani, lakini leo tunapoongea haya inashiriki ligi daraja la nne...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
kwa mala ya kwanza mwanadada kutoka china Li Na amemshinda mwanadada kutoka Italy Schiavone ktk yale mashindano ya Tennis french open. French Open women's final - Francesca Schiavone v Li Na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mashindano ya riadha kanda ya tano Africa yako live ITV sasa hivi uwanja kwa kweli ni mzuri picha inapendeza sana ila watanzania bado tunajikongoja hakuna aliyefanya wonders ingawa tuko home games...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Man City (Third Kit) Perhaps the Citizens were trying to convince Carlos Tevez he was playing for River Plate in this eye catching shirt. No doubt influenced by the Argentinian club the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom