Cristiano ronaldo jana kapiga goli 2 na kuweza kufikisha magoli ya ligi 38 kati ya mechi 33 alizocheza msimu huu akimwacha mpinzani wake mkuu messi kwa tofauti ya magoli 7,messi ana magoli 31! Magoli hayo yamemwezesha kuifikia rekodi iliyowekwa na hugo sanchez wa real madrid(1989/90) na telmo zarraondia wa atletico bilbao(1950/51) kwa kuwa ni wachezaji walioweza kufunga magoli mengi kwa msimu mmoja,yaani hayo magoli 38! Hata hivyo ronaldo bado ana nafasi ya kuvunja hiyo rekodi kama akifunga katika mechi ya mwisho ya real madrid msimu huu watapocheza na almeria next weekend! HUYU JAMAA KWELI NI MFALME WA LA LIGA AND EPL! Sijui kama hili swali lishawahi kuulizwa humu,ila me nauliza hivi messi na ronaldo nani zaidi katika all angles?? Usizungumzie tuzo za fifa kwani hata nsajigwa alipiga kura!!!!!