Mourinho ampiga bao Valdano

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho ameshinda vita ya maneno dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Timu hiyo, Jorge Valdano ambaye ametupiwa virago. Wawili hao wamekuwa kwenye msuguano mkali tangu Mourinho ajiunge na klabu hiyo kongwe nchini Spain hali iliyopelekea kushindwa hata kusalimiana na wakati mwingine kila mtu kusafiri kivyake wakati wa safari ya timu. Valdano amekuwa akiponda mbinu dhaifu za ufundishaji za Mourinho huku kocha huyo naye akidai kuwa timu aliikuta katika kiwango duni kabisa na ilihitaji restructuring na kudai uhuru zaidi wa kuisuka upya Madrid.
Kwa habari zaidi soma Valdano dismissed as Real Madrid director general - World Soccer - Yahoo! Sports
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom