Maximo atabaki kuwa kocha bora na wa kihistoria Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maximo atabaki kuwa kocha bora na wa kihistoria Tanzania

Discussion in 'Sports' started by GAZETI, May 24, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Licha ya maneno na masimango ya watanzania kwa Kocha Marcio Maxmo kutoka nchini Brazil bado sijaipata furaha ya ukweli kama niliyokuwa nikiipata wakati kocha huyo akiwa na mikoba ya kukinoa kikosi cha timu yetu ya Taifa. Licha ya kuchukua kombe La challenge ni wazi kuwa mapenzi ya watanzania kwa timu yao yamekufa tena. Kama inawezekana turudishieni maxmo wetu.
   
Loading...