Semi-finals , 2nd leg : 3-4 May 2011
3 May 2011
More »
Barcelona 20:45 Real Madrid
Referee: TBD – Stadium: Camp Nou, Barcelona (ESP)
4 May 2011
More »
Man. United 20:45 Schalke
Referee...
Unazi hadi kazini?
Hawa kina Hando wa Clouds Pb ni washabiki nguli wa Man U. Huwa wanapata kigugumizi sana Man U wakichapwa. Sasa leo Hando kajibaraguuuuuuza, mwishoni anazuga eti kwa sababu...
Wadau nimepitia site mbalimbali katika list ya majina ya wanamichezo walioteuliwa tuzo za Taswa eti kuna jina halitamkii, ni jina gani? ni raia wa wapi?
Naambatanisha hizi Picha mbili mechi ya Jana Chelsea na Spurs hebu nisaidieni mwenzenu goli halali kwa vifungu vya FIFA linatakiwa liweje?.
Kwa mtazamo wangu ni goli, hebu nisaidieni
Juzi kwenye mech ya uefa kati ya realmadrid na bacelona, nilishuhudia mashabiki wa man u wakiwaka kwa hasira mno baada ya madrid kufungwa kuliko hata wapenzi wa madrid kwanini???
UONGOZI wa klabu ya Simba unaandaa bajeti ya shilingi 1.5 bilioni huku ikipanga kutumia sh.375 milioni kwa usajili msimu ujao, huku wakitoa saa 48 kwa wapangaji wao kusaini mkataba mpya...
Jalandhar :The Lovely Professional University (LPU) here Thursday called off classes for three days following the death of a Mizo student who was brutally thrashed by three African students during...
Dutch club sign one-year-old to 10-year deal
A Dutch club have signed an 18-month-old toddler to a 10-year contract after seeing his amazing football skills on You Tube.
Dutch club VVV-Venlo...
Nyie wakuu hapo TFF tunaomba muwe na utaratibu wa kuiupdate wavuti yenu.Si wadau tukiitembelea tunakuta habari za mwaka 49.Mnashindwa hata na blog za akina Michuzi?Nyie ni taasisi kubwa na dunia...
Arsenal 1 - 0 Man Utd
Kuisha
'90 Aaron Ramsey wa
Arsenalamepewa kadi ya njano na
Chris Foy na hii ni kadi yake ya
kwanza ya njano.
'90 Mchezo umekwisha London.
Matokeo ni: 1 - 0.
'90 Man...
Kwa sisi tunaovaa miwani,mala nyingi inatusaidia kuona zaidi ya kuona kwa kawaida kutokana na aidha macho yamepungunza nguvu ya kuona mbali au karibu katika hali ya ufasaha.Sasa nikirudi katika...
The UEFA Control and Disciplinary Body has confirmed the following sanctions against Rangers FC after the two legs of their UEFA Europa League round of 16 tie against PSV Eindhoven.
Following a...
Sign of respect? A smirking Jose Mourinho ignored the message above his head during Hell Clasico and faces a touchline ban
UEFA has opened disciplinary cases against Real Madrid CF and FC...
Haya wana Jf baada ya kipigo kutoka kwa Bacca,mambo yapo hivi
Hostilities between Real Madrid and Barcelona were showing no sign of abating on Friday night and there was even the suggestion a...
Wana jf Natumai wote ni wazima, Kuna taarifa kuwa kuna bilionea mmoja wa itali amepanga kujenga Bilionea club malindi Kenya. Ujenzi huo utagharimu U$D 700,000,000 na ujenzi wa club hiyo utachukua...
Habari ambazo zimerushwa na supersport Blitz hivi punde ni kuwa Bafana bafana watacheza game ya kirafiki ya kimataifa na Taifa stars katika uwanja wa mpya mei 14 bongo.
Hii ni habari njema kwa...
KOCHA mpya wa Simba Mosses Basena ametua nchini jana na leo anatarajia kusaini mkataba wa miezi sita na klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu na michuano ya kimataifa huku akitoa...
Thomas Ulimwengu, akimtoka beki wa Cameroon.
MSHAMBULIAJI chipukizi na hatari wa Timu ya Taifa ya Vijana, Thomas Ulimwengu anatarajia kutua TP Mazembe kwa mkopo.
Akizungumza na Championi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.