Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sepp Blatter: I once handed back a bribe • President promises to reform Fifa if he is re-elected • Blatter revealed being targeted when secretary general...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Huyu Dada ni Mbaya (Mkali) akiendelea matangazo yatamuona InshaAllah.. Kama ya Sports au yakuuza Bizaa za Tanzania au za Nje haya. Football technics by a tanzanian street woman YouTube -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Juma Kasesa UONGOZI wa mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga, umeandaa tuzo maalumu kwa wasanifu majengo wazawa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kitengo cha ardhi ambaye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi wa TP Mazembe, na Tajiri wao Wakimsubiri Mbwana Makatta kuwasili Uwanjani, Uwanja Umejaa haswa... Tajiri wa TP Mazembe Moise Katumbi Chapwe aikimuta Samatta kumtambulisha rasmi kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona Tangazo ITV timu ya riadha ya Taifa inaomba misaada ifuatayo ili iweze kushiriki mashindano ya Africa Mashariki mwezi ujao pale uwanja Taifa: Kilo 300 za Mchele, Kilo 50 za Chumvi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Suspended Fifa vice-president Jack Warner has made public an e-mail that claims Mohamed Bin Hammam "bought" the 2022 World Cup finals for Qatar. Fifa secretary general Jerome Valcke admitted he...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Ilikuwa jumamosi, mbili nane mwezi mei, Siku ilojaa mikosi, kwa Man U nae Fegi, Waliuanza kwa kasi, wakitafuta ushindi, Dakika kumi za kwanza, Barca walikuwa hoi. Runi alikosa goli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Luke Donald beats Lee Westwood at Wentworth to become world No1 • Donald takes top spot for first time after play-off • Westwood had previously been world's best player...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shirikisho la mchezo wa soka duniani Fifa, limewasimamisha kwa muda wajumbe wawili wa kamati kuu, Mohamed Bin Hammam na Jack Warner baada ya kikao cha kamati yake ya maadili siku ya Jumapili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Beware of manchester fans! They will kill you!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shukrani kwa TFF kwa kuratibu mashindano ya Taifa kapu, kama itatokea mwakani kombe likawa halijumuishi mchezaji yeyote wa ligi kuu, litanoga! Mfungaji bora hatategemea uzoefu wake wa ligi kuu...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Neno la leo,kama huipendi au huikubali Barcelona chimba shimo ujifukie au saga chupa unywe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huwezi amini jana wakati fainali ya klabu bingwa ulaya kati ya Barcelona na Man u,kocha wa Man u Sir Alex Fergason alikuwa akitetemeka wakati mpira ukiendelea kutokana na hofu na pia kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye nusu fainali ya uefa champions league wakati Barcelona alipoichapa Real Madrid 2 - 0 mechi ya kwanza,watu wasio jua mpira walisema maneno ya uzushi na uongo kuwa Barcelona kabebwa,sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna video kwenye blog moja ya bongo inasikitisha. Comment za mama wa kizungu juu ya watanzania zinatia aibu Jionee mwenyewe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kawaida ya watanzania kupeana pole pale unapomuona mwenzako yupo katika hali Mbaya,napenda nianze kuwapa pole mwenyeji na wakazi wa mkoa wa Mwanza kwa kufungwa na Mbeya kwenye fainali ya Taifa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Gabriel Mwaikimba ameipatia Mbeya bao moja na kuchukua kombe la Taifa Cup katika mpambano wa fainali lililofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid, Arusha. Pia Mwaikimba amechukua kiatu cha Dhahabu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Revealed: The forgotten Man United star who saved Barca but now lies in a pauper's grave Published 08:08 28/05/11 By Laurie Hanna - EXCLUSIVE (1) Recommend...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwangu mimi sina usemi zaidi ya hayo tu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom