Robo fainali Kil taifa cup | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Robo fainali Kil taifa cup

Discussion in 'Sports' started by Crashwise, May 22, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Ilala na singida, mchezo umemalizika kwa ilala kupata goli 3 kwa beseni na mechi inayoendelea kwa sasa ni Arusha na Mwanza..
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  dakika ya 10 jerry tegete anaipatia mwanza goli la kuongoza..
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Si walisema wachezaji wa ligi kuu ni marufuku kucheza taifa cup?huyo tegete anatafuta nini sasa.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mchezaji wa mwanza frank sekule anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa arusha..
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wanaruhusiwa kutumia wachezaji wasiozidi 5..
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,895
  Trophy Points: 280
  Wafungaji wa mabao ya Ilala?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  abdallah abed wa arusha ameonyeshwa kadi ya njano baada ya kumkwatua mchezaji wa mwanza
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nilichelewa kuingia nikakuta wanaongoza kwa goli hizo 3, nimejaribu kuuliza sipati jibu la kueleweka..
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mwanza wanapata goli la pili..
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wakati timu zikiwa kwenye vyumba vya kubadilisha nguo, jo makini anatumbuiza hapa.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mwanza 2 na arusha 1 goli la arusha lilifungwa na mohamed juma
   
Loading...