Premier league d-day

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
Leo ndio rasmi English Premier League inafikia ukingoni, wakati Man United wakiwa tayari wameshatwa ubingwa changa moto imebakia kwa Man City na Arsenal ambao kila mmoja akisaka ushindi kujihakikishia nafasi ya moja kwa moja kwa ligi ya mabingwa wa ulaya msimu wa 2011/2012.

Man City wana pointi 68 moja zaidi ya Arsenal ambao wa 67,ushindi dhidi ya Bolton utawahakikishia kumaliza nafasi ya tatu hata kama Arsenal watashinda mechi yao dhidi ya Fulham.hivyo watakuwa na nafasi ya moja kwa moja kushiriki group stage European champions league.

Na katika hali ambayo ni ya kihistoria timu mbili kati ya tano zinaweza kujiunga na West Ham kutimiza idadi ya timu tatu za kushuka daraja.

Wigan na Blackpool wakiwa katika nafasi mbili za mkiani lakini wakiwa pointi sawa na Birmingham 39.
Wolves na Blackburn wana pointi 40 hii ikimaanisha lolote linaweza kutokea kwa timu hizi.

Wigan na Blackpool hata kama watashinda lakini bado watategemea matokeo ya mechi nyingine.

Aston Villa v Liverpool

Bolton v Man City

Everton v Chelsea

Fulham v Arsenal

Man U v Blackpool

Newcastle v West Brom

Stoke v Wigan

Tottenham vs Birmingham

West Ham v Sunderland

Wolverhamton v Blackburn

Tutajuzana matokeo hatua kwa hatua mpira utakapo anza.
 
Nakuhurumia sana hilo jina lako(username) kwa kule kwetu ungonini maeneo ya umatengo lina maana...(P*M*U).
 
Nakuhurumia sana hilo jina lako(username) kwa kule kwetu ungonini maeneo ya umatengo lina maana...(P*M*U).
Wadigo wana maneno yao wanasema "WAROVU KANZIMANYA" waki maanisha anukae hajijui sasa hilo la kwako ondoa u 3 halafu ongeza mb...... ndio utajua Juma Bhalo alimaanisha nini alipo imba.....mtu akitaka nena kwanza hugeuka nyuma kutazama yalo kwake,hainuki kusimama kutangaza ya wenzake!!!!!!!!!!....natumaini na wewe utampa wa kukuhurumia kama ulivyo nihurumia mimi.
 
leo ndio rasmi english premier league inafikia ukingoni, wakati man united wakiwa tayari wameshatwa ubingwa changa moto imebakia kwa man city na arsenal ambao kila mmoja akisaka ushindi kujihakikishia nafasi ya moja kwa moja kwa ligi ya mabingwa wa ulaya msimu wa 2011/2012.

Man city wana pointi 68 moja zaidi ya arsenal ambao wa 67,ushindi dhidi ya bolton utawahakikishia kumaliza nafasi ya tatu hata kama arsenal watashinda mechi yao dhidi ya fulham.hivyo watakuwa na nafasi ya moja kwa moja kushiriki group stage european champions league.

Na katika hali ambayo ni ya kihistoria timu mbili kati ya tano zinaweza kujiunga na west ham kutimiza idadi ya timu tatu za kushuka daraja.

Wigan na blackpool wakiwa katika nafasi mbili za mkiani lakini wakiwa pointi sawa na birmingham 39.
Wolves na blackburn wana pointi 40 hii ikimaanisha lolote linaweza kutokea kwa timu hizi.

Wigan na blackpool hata kama watashinda lakini bado watategemea matokeo ya mechi nyingine.

Aston villa 1 v liverpool 0 HT ...DOWNING

Bolton 0v Man City 1 HT LESCOTT

Everton 0 v chelsea 0..

Fulham 1 v Arsenal 1...SIDWELL...VAN PERSIE

Man u 1 v blackpool 1..J PARK..ADAM

Newcastle 2 v 0 West brom...TAYLOR..LOVENKRANDS

Stoke 0 v Wigan 0

Tottenham 0 vs Birmingham 0

West Ham 0 v Sunderland 1.ZENDEN

wolverhamton 0 v blackburn 3..ROBERT ..EMERTON..HOILLET

tutajuzana matokeo hatua kwa hatua mpira unavyoendelea
SECOND HALF
TOTTENHAM 1 VS BIRMINGHAM 0 ..PAVLYUCHENKO 49
NEWCASTLE 3 VS WEST BROM 0...OLSSON owner goal
MAN U 1 vs BLACKPOOL 2...TAYLOR FLETCHER
FULHAM 2 vs ARSENAL !...ZAMORA 57
MAN U 2 vs BLACKPOOL 2...ANDERSON
NEWCASTLE 3 vs WEST BROM 1..TCHOYI 62
WEST HAM 0 vs SUNDERLAND 2...SESSEGNON 51
BOLTON 0 vs MAN City 2...DZEKO 62
 
newcatle 1-west bron o....s taylor
west ham 0-sunderland 1....zenden
man united 1-blackpool 0.... J park
wolves 0-blackburn 1....roberts
fulham 1-arsenal 0....sidwell dakika ya 26
fulham 1-arsenal 1...Van Persie ...dakika 29
 
Aston Villa 1 - 0 Liverpool
Bolton 0 - 2 Man City
Everton 0 - 0 Chelsea
Fulham 2 - 1 Arsenal
Man Utd 3 - 2 Blackpool
Newcastle 3 - 2 West Brom
Stoke City 0 - 0 Wigan
Tottenham 1 - 0 Birmingham
West Ham 0 - 2 Sunderland
*Wolves 1 - 3 Blackburn
*nataka Wolves washuke daraja..
 
horrible own goal for blackpool... really sad kwakweli

manure 3 blackpool 2
 
Everton 1 - 0 Chelsea

Fulham wako 10 baada ya mchezaji wao kuonyeshwa kadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom