Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naomba mnisaidie ktk hili,nimesoma ktk web ya Mwananchi nikaliona jina la Kim Paulsen kama kocha mpya wa Taifa stars aliyechukua nafasasi ya Juan Paulsen! Hawa ni ndugu? Au majina yamefanana tu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inabidi waganga wetu akina profesa Maji marefu na d Kifimbo wakajitangaze UK... kuna biashara kubwa kumbe Mario Balotelli and Samir Nasri take to voodoo to help Man City win title | Metro.co.uk
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Olympic beach volleyball team stop traffic in London's Parliament Square sporting briefs and bikinis British squad pose in bikini tops and briefs Stunt designed to highlight how busy London’s...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bacelona striker David Villa has broken his left shinebone in the FIFA club world cup semi fainal against Al saad...30 years old was carried of the stretcher six minutes before half-time after...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Didier Drogba amewaaga wachezaji wenzake wa klabu ya chelseaya uingereza na kuwaeleza kuwa muda umewadia wa yeye kutemana na klabu hiyo ambayo ilishinda ubingwa wa ulaya jumamosi iliyopita kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ETI wanachama 700 wa Yanga walikutana Jumapili makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam na kufikia uamuzi wa kumng’oa madarakani Mwenyekiti, Wakili Lloyd Bahargu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Source ESPN na CNN byebye DD
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu, nimekuwa mfuasi mzuri watovuti ya michezo ya www.shaffihdauda.cominayomilikiwa na Shaffih Dauda wa Clouds. Lakini huyu jamaa amekuwa akinikerasana kutokana na kuwa mtabiri wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Chelsea baada ya kutambua kuwa uwezo wa kuchukua ubingwa nchini Uingereza imeshindikana, wakaamua kupoteza hata nafasi za kuingia nne bora ingawa wangekazana wengeweza. Walichoamua ni kuelekeza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napoli FC which was well beaten by Chelsea in CL Leo wamewafunga mabingwa wa italy : Juventus goli 2-0 kwenye finali ya Italian cup! Magoli lakwanza penalti ilifungwa na Edson Cavani (Chelsea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Who knows which clubs are the richest football clubs in the world? Football Revenues - Home has a lot of figures, but are those right and recent? I expected clubs like Boca Juniors, Club...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningelikuwa na uwezo ningeandaa kombe la mpira wa miguu kwa kuhusisha timu ambazo Marehemu Patrick Mutesa Mafisango amewahi kuchezea zikiwamo TP Mazembe, APR, ATRACO, Azam na Simba kwa kuliita...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
.....ana kiatu kikali hivi. Hapa alikuwa akimlilia Mshikaji wake Pat' Mutesa Mafisango,pole sana Boban,njia yetu sote ni 1,Pat' ametangulia tu,MUNGU aiweke roho yake mahali pema peponi - Amein.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa...
0 Reactions
50 Replies
13K Views
Wana jf heshima kwenu!... nianze kwakusema hodiiiiiiiiii..... k wenye hii forum. mimi c shabiki ila nawapongeza sana :A S 41:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Eti henry ni mkristo furani ni muislam inatusaidia nini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa mastaa ni waislam kamili baada Thiery Henry pia kuslim akiungana na Tyson,Ribery,Anelka na Van Parsie. Chanzo:mwanasport ya leo.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hivi kwa hap tz ni wapi nikapata kozi ya ukocha wa handball na soccer?
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…