Ronaldinho Asiwaonee Wabrazili - Arudi Ulaya Alikokukimbia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ronaldinho Asiwaonee Wabrazili - Arudi Ulaya Alikokukimbia!

Discussion in 'Sports' started by Companero, Oct 7, 2012.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  yaaani niliposoma thread tu nkajuwa imeandikwa na Komredi Companero...
  usiseme Dinho arudi ulaya, coz ulaya ashawanyanyapaa sana...sema Dinho arudi Mbinguni alikokuwa anatesa
   
 3. Companero

  Companero Platinum Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tehe tehe, hamumtaki tena huko San Siro awasaidie kina El Shaarawy ili msiwe mnapigwa bao na 10-Man Inter kama mmesimama!
   
 4. M

  Masuke JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Sasa mkuu unataka arudi Ulaya wakati huko Brazil ndo kuna vipaji vya hatari ambavyo anaendana navyo, ila ni kweli hata mimi nimemmis sana.
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  vipaji vya marekani kusini lazima vipitie kwanza ulaya ndio vithibitishwe viwango, ndio maana neymar hawezi kulinganishwa na kina messi mpaka kwanza akapambane na mabuti ya kina ramos (hispania), ivanovic (uingereza) na samuels (italia)! ronaldinho alirudi brazili kwa kuwa kiwango na kasi ilishuka! kama anajiona sasa yuko fiti kweli arudi ulaya tuone!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  companero longtime bro sijakusoma humu, hope you are ok! Brazil ni noma lkn siku hizi ni km kumepungua flani hivi. Dinho anapesa tayari kesharidhika yule
   
 7. Companero

  Companero Platinum Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  hakuna kitu kule brazili, ni sehemu tu ya chipukizi (mf. neymar na ganso ) kuibukia na wakongwe kustaafu (mf. ronaldo na ronaldinho)!
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Pele alipitia Ulaya?
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Aje ainusuru AC Milan!
   
 10. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 688
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  hv jamani kama carrick,cleverley,lampard,nk wanacheza ronaldinho atashindwaje?acheni unafiki.nimemsahau giggs
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Hah hah haah asante mkongwe mwenzangu...
  Kijembe kimefika
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Ujumbe huu umfikie mtoa thread...
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  si ndio maana mchezaji bora duniani ni diego armando maradona ambaye hadi leo napoli inajaribu kuyarejea mafanikio aliyowapa huko naples, enzi hizo hata timu yako ya milan ilikuwa inawagwaya!
   
 14. Companero

  Companero Platinum Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  ronaldinho aliogopa kucheza kwenye ligi hiyo yenye mikikimiki, ndio maana akakimbilia ufaransa kwenye ligi nyoronyoro kabla ya kwenda continental europe kwenye soka la kilatini!
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkongwe pekee anayeweza kuinusuru AC Milan anaitwa Ricardo Izecson dos Santos Leite 'Kaka', Man U kamwe hawatamsahau huyu kama ambavyo hawatakaa wamsahau Mbrazili mwenzake, Giovanni Elber!
   
 16. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Messi + Ronaldo = Gaucho
   
 17. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Maradona hakuwahi kubeba Champions League kwa wakati huo.
  Ndio maana nasema Dinho ni Mbarikiwa
   
 18. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  dah Myao sikutegemea kama utashusha madini kama hayo.

  Forza Myao
  Sempre Myao...
   
 19. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Brasileiro Round 28:
  Ronaldinho hat-trick keeps
  Atletico Mineiro's title hopes alive
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  RonaldoLima > ChristianoRonaldo + LionelMessi = RonaldinhoGaucho => RonaldoLima > RonaldinhoGaucho

  *In Brazil Ronaldinho means Small Ronaldo (O Fenomeno)
   
Loading...