Kufanya vibaya kwa Yanga tatizo ni kocha kuvaa Kikuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya vibaya kwa Yanga tatizo ni kocha kuvaa Kikuku

Discussion in 'Sports' started by kazikubwa, Sep 20, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo nimeshuhudia wapenzi wa Yanga eneo la Tandika wakilaumu kuwa matatizo yote wanayoyapata ya kuzomewa na watani wao wa jadi yanasababishwa na tabia ya kocha wao. Kocha huyo raia wa kigeni alipofika nchini alikuwa amevaa kikuku, hili ni pambo la jinsia fulani hapa nchini.

  Wazee walimkalisha chini na kumweleza kuwa kwa utamaduni wa nchi hii pambo hilo lina maana mbaya sana hasa akizingatia jinsia yake. Kocha huyo akaziba pamba masikio yake. Wachezaji hawampendi kwa tabia hiyo kwani wanaona kama wanadhalilishwa.

  Walimvumilia katika michezo ya Kagame lakini sasa maji yamewafika shingoni. Ona ilivyokuwa huko Mbeya, alilazimisha wachezaji kulala wawili katika chumba kimoja huku yeye akimchagua beki Mwasika chumbani mwake.

  Kutokana na kutokuwa na dalili ya kocha wao kuacha kuvaa kikuku, wameamua kuunda zengwe la kufungwa mechi zote hadi hapo kocha atakapo timuliwa. Jambo hili wakilijua watani zetu sijui nyuso zetu tutaweka wapi.

  My take:-

  1. Uongozi ulichunguze jambo hili na kulichukulia maamuzi mapema sana.
  2. Uongozi ujue kuwa wapenzi tunaumia na wanatutia wasiwasi tarehe 03 Octoba tukikutana na Mnyama.

  Wenye picha ya jamaa akiwa ametinga kikuku tafadhali aitupie humu jamvini.
   
 2. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180

  Mmeanza wabongo kutafuta sababu za kitoto kuhalalisha kufungwa. Kwani Yanga ni nani asifungwe? Wakati mnafurahia ushindi mfululizo wa kagame na mechi za kirafiki kocha hakua akivaa kikuku/hereni?

  Yanga ni kama timu nyingine zenye haki ya kushinda na kushindwa. Kiukweli Yanga haiko impressive kivile, ila defensively wako safi
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  acha unafki weka hiyo picha akiwa amevaa kikuku,unamuonaga peke yako?
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red kama hujui usemalo better to shut your mouth.Ungekuwa mfuatiliaji usingeandika huo upuuzi
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Na ule unyoajixwa twite ndocunasababisha magoli
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  harafu nasikia wanamkameroon???
   
 7. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sasa mmeanza kutafuta visingizio vya kumwokoa Manji! Tatizo lenu Yanga mnajua sana kusema zaidi ya kutenda. Ziko wapi tambo za juzijuzi kwamba mmeunda safu ya kumwangamiza mnyama? Nasema Manji atajutia kujiingiza katika siasa za simba na Yanga; klabu za uswahilini zinazoendeshwa kiswahili swahili. Kama anabisha asubiri muda upite au akamwulize Mzee Mengi kipi kilimsibu?
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Wewe gonjwa bado.
   
 9. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hivi mtu unavyoandia "USHUZI" kama huu unakuwa unafikiria kwa kutumia nini kichwa au Makalio yasiyosafishwa baada ya kupitisha haja kubwa?
   
 10. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mtasema kila kitu, lakini soka itabaki kuwa soka ''...yaani kuna kushinda na kushindwa''
   
 11. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mlinilaumu sana kwa kutoa siri ya huyo kocha. Kwa taarifa yenu secretarieti yote ya yanga( Celestine Mwesiga-Katibu, Luis Sendeu-Msemaji na wenzake) imefukuzwa pamoja na kocha wake. Akavae kikuku kwao, hawezi kutuletea tabia za cameroon hapa nchini kwetu.
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo tuache kusema?
   
 13. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu na mavazi yake je? au huwa anavaa kama hivi;
   

  Attached Files:

 14. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kisu kimegonga mfupa.
   
 15. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Na anayesoma ushuzi huwa anasoma kwa kutumia nini? jicho lililoliwa kagera au 0754?
   
 16. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Hapa hatuongei kwa mdomo, hapa ni kuacha vidole vitembee mwisho wa siku ujumbe umfikie mlengwa. Ingekuwa kuchonga kwa mdomo na kwa hasira uliyokuwa nayo pengine sasa hii ungekuwa unatoa povu mdomoni.
   
 17. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Of all ze pipo wewe ndo unauliza haya ??? Umeshasahau juzi tu wakati unajifanya kutangaza mechi ya Oljoro na Mnyama ulikuwa unaandika nini ..?? Zipo wapi sasa hizo ngebe za akina Tuti, Kazingumu na akina bojo Kiiza ??

   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Manji ni janga
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Huyo mwenye bikini ni mchezaji wa Yanga kweli au ni photoshop?
   
 20. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mbona hamkubali mkizidiwa kimpira na Simba SC acha maneno ya mfa maji hayo, unatia huruma maskini. Mkishinda kamechi kamoja tu tena kwashida utasikia ngebe nyingi " ndiyo tumeanza ligi". Mtaanza ligi kila siku wakati Simba SC tumeshaanza biashara mapema jioni ikifika mahesabu.
   
Loading...