VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Ni jioni hii ambapo imelazimishwa suluhu na Esperance ya Tunisia nyumbani kwake. Ilikuwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya nusu fainali Barani Afrika. Mazembe walimaliza kumi baada ya Sunzu kulimwa 'red' dakika ya 90. Tusubiri marudiano Tunis,Tunisia...