Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Dakika ya ishirini na Simba inaongoza kwa goli 1
Simba 1 JKT 0
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, Paul Ndonga anaisawazishia JKT Ruvu bao hapa,sasa score board ni Simba 1 - JKT Oljoro 1
 
yaani wewe mnazi wa yeboyebo ndiyo unaeripoti pambano la simba na jkt orj..haya bana endelea kutuletea yanayoendelea huko usikute na wewe una hadithiwa
 
Hali kama ndo hii kwa hapa Taifa,duru la 2 kudondosha points kule mikoani mbona hakuepukiki.
 
yaani wewe mnazi wa yeboyebo ndiyo unaeripoti pambano la simba na jkt orj..haya bana endelea kutuletea yanayoendelea huko usikute na wewe una hadithiwa

Ha ha ha ha ha ha,Mtani unanivunja mbovu....Mtani Kaseja kapigwa bonge la chenga
 
Unaambiwa marefa leo wako makini ile mbaya,wanaogopa kisiwakute kile kilichowakuta wale wachezaji No.12 na No. 13 wa Watani zetu
 
Simba washamwumiza beki mmoja wa JKT Oljoro aliyeonekana kisiki,ametoka ameingia mwingine
 
Hee yule Kapombe aliyetangazwa ameumizwa sana na Said Bahanuzi mbona yupo uwanjani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dakika ya 44 Amri Kiemba anaipatia Simba bao la 2
Simba 2 - JKT Oljoro 1
 
Kiemba mwaka huu kama Mafisango(RIP) Msimu uliopita
 
Back
Top Bottom