Yanga kimeo tu imebakwa na kagera live 1-0

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
timu haifurahishi sasa tunashindwa hata pa kukimbilia kujificha,cjui kwanini ilibana kwa simba
 
katika soka pana kushinda,kufungwa na dro....hence congraturation young.....hapo ndo soka inapaswa hiwe si kila siku wao
 
Haya sasa mashabiki waandishi wa yanga fanyeni kama mechi ya mtibwa!Wanafugwa liverpoor na waandishi wafata maadili wanaandika sembese yanga......!
 
Jamani kwani umefungwa kamba uishabikie yanga?ndg yangu hama kama hutaki kufa kwa presha,
 
Back
Top Bottom