joseph michael
New Member
- Oct 4, 2012
- 4
- 0
Kutokana na kiwango alichoonyesha katika mechi chache za ligi kuu Tanzania Bara, nathubutu kusema kuwa kiungo mahiri wa Simba Amri Kiemba ameonyesha umahiri katika kuliziba pengo aliloliacha marehemu Patrick Mafisango katika nafasi ya kiungo