WAKORA SANA KAGERA SUGAR very fwantastic!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAKORA SANA KAGERA SUGAR very fwantastic!!!!

Discussion in 'Sports' started by pilau, Oct 8, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic
  Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania, Ghana, Uganda na Rwanda bado wanaendelea na tabia ya kunawa bila kula ...........
  .. Iweeeeeeeeeeeeee
   
 2. j

  joel amani Senior Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tulia wewe mbona unaharaka kama mkojo wa asubuhi
   
 3. B

  Big GM Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kagera hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhoooyeeeeeeeeeeeeeee nawapenda sana 1-0
   
 4. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwanini atulie wakati jahazi linazama? Manji anajutia mzigo wake Simba wameula bila kumpa matokeo.
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Yaani umenichekesha pilau.

  Yanga wanadhani mpira ni kuwa na wachezaji wenye majina.

  Mpira mipango. SIMBA kama kawa.
   
 6. F

  Fofader JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mipango yenu inasababisha marefa wanafungiwa!
   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kwa nini wasisifanye kazi zao kwa makini na kwa mujibu wa viapo vyao? Wameyataka wenyewe.
   
 8. F

  Fofader JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mdomo huo Kokutona, mdomo huo....... Shauri yako.
   
 9. j

  joel amani Senior Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninavyofahamu soka la bongo simba ikianza vizuri mwanzoni mwa ligi huwa haichukui kombe,ukweli ni kinyume chake,Teee ! !teeeee! teeeee! teeeeee !
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,885
  Trophy Points: 280
  Nasubiri siku Manji atakapocharazwa bakora pale Jangwani. Na ukio hilo wala haliko mbali kutokea.
   
 11. K

  Kolero JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usajili wote tuliofanya lakini bado tunafungwa, nadhani sasa tujiulize kama pesa zilizotumika zimeleta watalii ama wachezaji, si ajabu tukala kipigo kutoka kwa wanetu hapo Kirumba kama mwaka wa jana, loooh, afadhali Tegete acheze maana....!
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kocha mpya anafukuzwa lini sasa?
   
 13. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Yule Tutindaga aka Tuti hakucheza au ??? lol Fisadi Manji anaajiri makocha waliofukuzwa timu nyingine na kuwalipa madafu kiduchu... !! Huyu wa sasa nimeona anavaa tight kama za wacheza shoo wa Riziwani jazz aka THT... :)


   
 14. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Jangwani hawana tofauti na waimba taarab,mdomo mwiiing huku wakitegemea urose mhando/nibeebe,hakuna mwenye dhiki tena ndo wahonge,wajipange sana
   
 15. Ngalangala

  Ngalangala JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kila kocha wa yanga lazima na style yake ya kuvaa. Huyu wa sasa kaibuka na skin tight
   
 16. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu ungemwambia mbona ana haraka kama goli la Amri Kiemba?
   
 17. G

  Galaticos Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Yaani wee acha tuu... wasiporudisha pesa ya Mbuyi Twite watakiona mwaka huu....hawajui timu ya ufundi ipo kazini...
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wakora sana..mmmmmmmhh. Infact kama hii;
   
 19. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Sio mbali ni alhamisi tu.
   
 20. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wakikusikia unasema ukweli watakufukuza kama Tom Saintfet, mshika mfuko. Mwesigwa, na Sendeu wao.
   
Loading...