Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau nipeni tathmini yenu ya game ya kesho!!! The biggest derby kwenye history ya ligi ya uingereza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana bodi,naomba kufahamishwa sheria za mpira wa mguu zinasemaje iwapo mchezaji atarusha mpira akiwa nje ya uwanja moja kwa moja hadi kwenye lango la mpinzani wake na ukaingia je litahesabika kama...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
NCHUNGA AUNGURUMA JANGWANI, AWAPASHA WAZEE, AMTIMUA SEIF MAGARI Nchunga kushoto MWENYEKITI wa Yanga, Wakili Lloyd Baharagu Nchunga amejibu mapigo ya Baraza la Wazee la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Washabiki wa Dar es salaam Yanga Afrika, ya Umoja wa Mataifa jana mmeniangusha. Kwanza, mlikuja kwa uchache sana pale Uwanja wa Taifa kitu ambacho si kawaida yenu, halafu mkajitenga, mkakaa mbali...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Yanga imekabidhiwa kwa Baraza la Wazee katika kile kinachoelekea kuwa Mapinduzi Baridi kufuatia mwenendo mbaya wa TIMU hiyo.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ligi za zambia, kenya, ghana, nigeria zote zinarushwa na jamaa wa super sport.Hapa kwetu tatizo ni nini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho CAF, Simba SC sasa watawavaa El Ahly Shandy ya Sudan baada ya Al Ahli Shandi kuwachapa Ferroviario de Maputo ya Msumbiji jumla ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Round of 32 Friday 23 Mar 2012 16:30 FS Sequence - Guinea 0 : 2 CODM Meknès - Morocco '26 Ibrahima Camara Souri '75 Salah Iddine Khlifi Away match 0 : 1 Half-time...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu mechi ndo hiyo soon itaanza. mlio uwanjani kumbukeni kuchangia furaha yenu hapa ili tulioko mashambani tufaidike. UPDATES: Dakika ya 30: Simba 0 - 0 Ahli Shandy Dakika ya 38: Simba 0 - 0...
9 Reactions
158 Replies
18K Views
naona jamaa kaanza kugain confidence na sasa ameanza kuzifumania nyavu mfululizo. Hongera chelsea kwa ushindi mnono. Hongera Torres
0 Reactions
0 Replies
840 Views
wakuu kama kuna mtu ameliona lile tangazo kua and 1 wanakuja bongo, sasa wameandika saa 10 mchana, mi cjaelewa ni saa 10 am au pm? kwa anaejua tafadhali
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wakuu kwa wale watakao kua PTA mutujuze nani atatoka na mkanda wa IBF na Mkoko wa milioni nane leo Nawasilisha
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari za hivi punde kutoka tff zinasema kwamba waamuzi wa mechi ya Azam na Mtibwa iliyovunjika wameondolewa kwenye list ya waamuzi wa tff.Lakini pia kamati ya nidhamu imeipa Azam point3 na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pep Guardiola is understood to be on the brink of ending his tenure as manager of Barcelona after telling the club he cannot carry on. The 41-year-old Catalan will announce his intentions at a...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Duh huu ukweli lakini unashangaza sana hahaha!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natazama hii game, mpaka sasa ni Wigan 4 na NewCastle 0....Half time Nashangaa kitu kimoja..hivi hii inamaanisha premier league ni ligi bora kwa maana ya ushindani na kwa hivyo matokeo...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
WANAJF; Tunaomba wale walioko Taifa watupe updates za mechi kati ya Simba na Wasudani. TELO.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sababu siskii clouds wakipromote mechi ya simba na al ahl shandy.Nashangaa maana hawa jamaa ni marafiki wakuzikana iweje leo wanatosana au simba "wameshtuka"?!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Fc Barcelona amemtaja msaidizi wa Kocha Pep Guardiola Barca, Tito Vilanova ndiye atayeshika nafasi ya Guardiola. Source. www.fcbarcelona.com
0 Reactions
18 Replies
2K Views
baada ya barca kutolewa majuzi,watu wengi hasa wale mashabiki wa mkono wa kushoto walidai wamefulia.sasa jana mungu co JK na madrid pia wametolewa ktk kipute cha mabingwa ulaya.sasa je nayo madrid...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom