Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Nawasalimu wana Jf?
Siyo siri baada ya pambano la watani wa jadi.Jina la Boban limekuwa likipamba kwenye vyombo vya habar pamoja na midomo ya WENYE VICHWA VIGUMU ambao huwa wanasubiri dkk 90 zipite ili waanze sababu hasa wanapoona walichoendea uwanjani hakijafanikishwa..lakin kuna watu wanadamu ya kunguni..huyu si mwingine bali ni Haruna Moshi Boban..wakati mpira unakaribia kuisha Boban alimchezea Rafu mbaya Yondan ambayo itamweka nje kwa wiki 2..Kwenye hili mimi nna hoja 2.Mosi,huenda Boban alidhamiria.Pili,huenda hakudhamiria.Lakin yote yalikamilishwa kwa Boban kuomba Radhi..kwangu mimi kama mpenz wa soka lilikuwa jambo la kiungwana na la kufanya jambo hili kufika mwisho.Lakin kwa sababu Moshi ana Damu ya Kunguni watu wamemfanya ndo mtu wa ku make headlines za mwezi.JUMA SEIF KIJIKO..alimchezea rafu mbaya Mwinyi Kazimoto na kumvunja mguu hali iliyomfanya Kazimoto kuwa nje ya Uwanja kwa zaid ya miezi 2.ni rafu iliyochezwa dkk ya 17 ya mchezo.Kijiko alikwenda mbali zaidi hadi kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa Alifanyavile kumpunguza kasi Mwinyi,la sivyo angekuw na madhara kwao..hakuna aliyemsakama kwa hayo yote zaidi ya kujipatia umaarufu kwa kumpunguza kasi(KUMVUNJA MGUU) Mwinyi Kazimoto dakika ya 17.wakati ile ya boban ilipigwa dakika za lala salama .hapa ndo utaona Boban anadam ya kunguni.ameomba radhi masaka bado mnamshambulia mbona Kijiko mlimshangilia?
HONGERA BOBAN KWA HILI UMEONYESHA USHUJAA..