Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yanga kulikoni au sio washindani tena?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simba ilisogea jirani zaidi na ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania 2012 kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana, huku watetezi Yanga wakilitema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jose Mourinho: "I don't see Chelsea in the final it might be Real Madrid v Barcelona or Bayern v Barcelona but i don't see Chelsea going through to the final."
0 Reactions
12 Replies
2K Views
C. Ronaldo of Real Madrid
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo naona vijana wa darajani mtabugia mengi kwelikweli coz mnautafuta mpira kwa tochi, KAZI MNAYO
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Yaliyomtokea ronadinho na rijkard ya elekea kumkuta messi na kocha wake. STARTIMES WANAONESHA KUPITIA KITUO GANI?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Startimes wanaonesha kupitia kituo gani? TABIRI NANI MSHINDI LEO KATI YA CHELSEA NA BARCELONA.
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Timu ya Yanga imeendelea kuboronga kwenye ligi kuu baada ya leo kukubali kulala kwa goli moja mbele ya Kagera Sugar.Pia ndani ya uongozi wa Yanga kumeibuka sintofaham kutokana na vipigo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpira una endalea Simba 1 na JKT Ruvu 0... ======== Simba 3 na JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 1 na Yanga 0 Coatal 1 na Polisi 0 Toto 2 na African Lyno 0
1 Reactions
97 Replies
8K Views
TETESI: Alfred Tibaigana afuta matokeo ya Toto African v/s Young African. Mechi kurudiwa, any clear information?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kwa tetesi nilizozipata hivi punde,ile rufaa ya yanga ya kupinga kupokwa point3 imepigwa chini leo na kamati ya rufaa ya tff chini ya kamanda Tibaigana,ikiwa na maana kwamba yale maamuzi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hayo yalitokea wiki hii pale mtangazaji wa clouds,aka Simba tv alipojipendekeza kwenye kikao cha waandishi wa habari kwenye jengo la klabu ya YANGA.....very nice nawapongeza wanachama wa Yanga kwa...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
A professional at 11 Barcelona sign 11-year-old
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Fantastic run in Karatu last week end at the Tigo Ngorongoro half marathon, with Fabian Joseph and Jacqueline Sakilu emerging tops... Olympic hopeful Fabian has every possibility of bringing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale mliombali na TV basi unaweza kuangalia live streaming kwenye hii link http://www.atdhenet.tv/46113/watch-bayern-munich-vs-real-madrid Kwa mlio bongo nakushaurini muangalie tv hii link...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Semi final za UEFA - Nani ataibuka mshindi hapa. Mimi ninabaki na R. Madrid ingawaje hawa ni maadui wa jadi, lolote linaweza kutokea. Na pia tusisahau kuwa Real haina hisoria kubwa ya kuwashinda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namcheki maximo wetu kocha wa wa timu ya taifa wa zamani hapa TBC, akinadi sera zake za kuanzishwa kwa vilabu vya watoto.....huyu jamaa wadau vp kuna umuhimu wa kuwa naye tena???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAXIMO AMSHAURI RAIS KIKWETE JINSI YA KUPATA MAFANIKIO KATIKA SOKA Kocha wa zamani wa Taifa Stars Marcio Maximo akimsalimu mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akiwa ziarini nchini Brazil Rais J.M Kikwete amekutana na aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania.Marcio Maximo. Maximo alichukua fursa hiyo kwa kushauri vilabu vya soka Tanzania lazima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa hali inaavyoonekana baada ya ushindi wa kishindo, kwa mara nyingine tena timu mbili za Barca na Real M zitaendelea kushinda na kutawala La Liga,hivyo kupunguza mvuto maana haina ushindanizaidi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom