Breaking news:UTAFITI WAWAVUA NGUO MAREFA WA LIGI KUU YA UINGEREZA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Siku kadhaa baada ya Aguero ambaye ni mchezaji wa MAN city raia wa ARGENTINA kulalamika kuwa marefa wa uingereza wanatabia ya kuwapendelea wachezaji wa uingereza,utafiti umeibuka na kumuunga mkono Aguero,Utafiti huo ambao ulifanywa na chuo kikuu cha Oxford,Cmabridge na Birminghan umeweka wazi kuwa ni kweli kwa aslimia fulan hawa marefa wanawapendelea wachezaj wa uingereza,utafiti huo ulianagalia mechi 760 na kujridhisha kuwa kuna upendeleo,ila utafiti huo ulifanyika msimu wa 2006/07,na 2007/08
sosi,ukurasa wa facebook wa :bbc swahili
 
Jamani mbona hii ya zamani sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jamani mbona hii ya zamani sana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

inawezekana huu utafiti ulikua ni kwa matumizi yao wenyewe,sasa wameona bora wauweke wazi,maana hii LIGI BADO IPO NA HIVO VITENDO VUNALALAMIKIWA
 
Back
Top Bottom