REFA wa Simba VS Oljoro JKT

REFA wa Simba VS Oljoro JKT

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Wale vizabina zabina wameshuhudia wakati mnyama akitafuna mjeshi 4 - 1 ....... kadi nyekundu 2 halali za njano halali na Penati halali .......... hakuna longolongo wala malalamiko.............. magoli safi........... Refa hakuogopa majina amefuata sheia 17 za mchezo, sio yule mwamuzi aliyekuwa anaogopa majina akalazimisha sare hata kama timu moja inazidiwa
 
Back
Top Bottom