Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Wazee wa kufukuza fukuza mna bahati sana juzi mlipata penalt la sivyo mngelala na kale kamoja.
Na msimu huu mtashuka na daraja kabisa manake mtapigwa na kila mtu ..halafu nyie sio wa kuwapiga nyingi. Moja moja kanawatosha tano nyingi sana.
Asanteni sana Kagera mumenipa sana raha leo .