Tenga:Uongozi wa soka ni wito

Tenga:Uongozi wa soka ni wito

mgomba101

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
1,822
Reaction score
711
Tenga acha unafiki! kama ni kweli uongozi wa soka ni wito mbona wewe upo TFF tangu 2004,takribani miaka 8 sasa.Kama ni wito kwa nini uliwafanyia fitina Michael Wambura na Jamal Malinzi wasigombee Urais TFF.

Tena wewe ni bingwa wa kuchakachua mapato!
 
Kama ni wito usigombee tena wapishe na wengine wenye uwezo.Tumechoka kila siku kuchakachua mapato,vilabu vinabaki masikini.
 
Kwa sasa Alhaj Muhidin Ndolanga alikuwa bora kuliko Leodgar Tenga
 
Back
Top Bottom