Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wale vizabina zabina wameshuhudia wakati mnyama akitafuna mjeshi 4 - 1 ....... kadi nyekundu 2 halali za njano halali na Penati halali .......... hakuna longolongo wala malalamiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ilivyotarajiwa na wengi wale wachezaji wa kukodi No. 12 na No. 13 waliowawezesha Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania Bara Simba S.C kutoka droo ya goli 1 - 1 na Mabingwa wa kusakata...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Wanajamvini siku moja baada ya mechi kati ya Yanga na Simba kulitokea mabishano mengi kati ya mashabiki wa pande zote mbili,huku kila mmoja akiwalaumu waamuzi kwamba ndio waliosababisha timu yao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ametweet kwenye twitter yake huku akicheka sana na kusema alidanganya.... ishakuwa msala kwake! source: sky news
0 Reactions
1 Replies
1K Views
....... Kweli kelele za chura hazimzuii mwenye kisima kuchota maji, na usiogope maneno kwani hata kwenye kanga yapo..... zile kelele za usajili wa kupindukia wa gharama kubwa lakini wameishia...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kawaida Arsenal wanaonekana kuutawala mchezo kwa dakika hizi zote za mwanzoni, lakini mpaka sasa ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja! Ni goli lililofungwa dakika ya 21 na Mohamed...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
WAKATI wingu la utata wa hesabu sahihi za mapato katika mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, iliyopigwa Jumatano iliyopita likitanda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesisitiza sh...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna habari eti kuwa miaka ya nyuma sana wachezaji wa Simba na Yanga walikuwa wakichezea timu zao kwa mapenzi ya moyo kabisa siyo kama kazi. Kutokana na mapenzi hayo, walikuwa hawahami...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Thursday, October 4, 2012* Pambano la watani wa jadi Yanga na Simba la Ligi Kuu ya Vodacom lililochezwa jana (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya bao 1-1...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbingu jaman nimeona hayo mapato na idadi iliotangazwa nimebaki wazi kumbe ukiona tff watu wanakomaa kwa garama wanajua wapi zinarudi aisee ..ukiwa kama mwanamichezo kuna uchaguzi wa tff hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
king leo anataraji kupata mtoto wa kiume muda si mrefu kuanzia leo na ameshampatia jina la Thiago
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni. Watazamaji...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
PAMBANO LA YANGA, SIMBA LAINGIZA MIL 390/- Pambano la watani wa jadi Yanga na Simba la Ligi Kuu ya Vodacom lililochezwa jana (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aaron Ramsey(ArsenAl) Scores the 3rd Goal against OLympiacos .. It is said on internet memes that every time Aaron Ramsey scores an important goal, someone famous dies, series Coincidences...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nILIANGALIA MECHI YA JANA YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA ILE KADI YA MCHEZAJI WA YANGA NI SAHIHI
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Asante sana StarTv Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE updates: Simba 1 - Yanga 1 - Goli la simba limefungwa dk ya 4 na Mchezaji Amri Kiemba, Goli la Yanga limefungwa na Bahanuzi katika...
2 Reactions
382 Replies
36K Views
Huu mchezo wa kupenda kupiga domo kwenye vyombo vya habari unaofanywa na mabondia wa hapa nyumbani pindi wanapoomba pambano na dume la milima ya Uluguru utaisha lini? Jana, Karama Nyilawila...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom