Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tanzania imechapwa 3 bila mpaka sasa. Umeme umezima uwanjani mechi imesimamishwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Arsenal the Gunners kupitia kwa msemaji meneja wao Arsene Wenger imethibitisha kuwa ipo katika mazungumzo na mshambuliaji kinda wilfred zaha wa klabu ya crystal palace yenye makazi yake huko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nyie DTV, achen kuhongopea watazamaji, mnasema mechi itaonyeshwa 'live' huku mkijua c kweli. Mnafanya promo wiki nzima kuwa itaonyeshwa live, kumbe live yenu ni baada ya mechi kuwa mapumziko, alaf...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUESDAY, DECEMBER 04, 2012 KALENDA YA YANGA YAZINDULIWA KLABU ya Yanga imeingia mkataba na kampuni ya Pecha Media Health Promotion kwa ajili ya kutengeneza kalenda za klabu hiyo za mwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Saturday, December 1, 2012 STARS YAIPA KIPIGO KITAKATIFU SOMALI, YAENDA ROBO FAINALI, NGASSA AVUNJA REKODI YA MABAO, BOCCO MOTO Kikosi cha Bara, Kilimanjaro Stars kilichofuzu kuingia Robo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Wachezaji wa Bara wakimpongeza Bocco baada ya kufunga bao la pili katika Robo Fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge dhidi ya Rwanda. Bocco alishangilia...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Mpaka saiv ni mapumziko kil stars imesha wapodoza gol 1 wanyarwanda amir kiemba.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
LiveScore.com : Africa Soccer Live Scores Its now Kenya(Harambee) Vs Malawi 33' played ,0-0
0 Reactions
3 Replies
5K Views
.... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, inawezekana hapa ikawa si jukwaa sahihi sana kwa hii post. Lakini nimeiweka kwa kuwa naamini michezo ni siasa, na pengine wazo hili linaweza kuchukuliwa na kupelekwa sehemu sahihi: Timu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wazo zuri kubadili upepo wakati huu wa maandalizi ya nusu ijayo ya msimu wa ligi. Lakini nina tatizo kidogo na safari hii... Na kudeclare interest, niko in favor of Simba kwenye derby ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mfungaji wa penalti ya mwisho na ya ushindi ya Zanzibar, Abdallah Othman akikimbia kushangiloia baada ya kumaliza mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa wale mnaofuatilia mechi kati ya Zanzibar na Burundi naombeni mnijuze jamani nini kinaendelea hadi sasa?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilidhani ni yale ya nyimbo za taifa kugoma kupiga siku ya mechi ya kimataifa na umeme kukatika siku ya fainali tu, kumbe kuna hili liliwahi kutokea enzi za mwalimu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nani mkali
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Hizi ni taarifa zilizopo katika tovuti ya Chelsea Adam Nditi, Born on 18 September 1994 in Zanzibar, Tanzania, Adam arrived at Chelsea as an Under-13 and can play either left-back or...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Enzi hizo nikiwa primary na wakumbuka hawa,wengine mwenye kuwajua aendeleze 1.Mohamedhi Mwameja 2.George magere Masatu 3.Deo Mkuki 4.Athumani China 5.Madaraka Suleimani. Mzee wa kiminyio...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Good Friday for Kenya at Dubai Sevens Spain's Marcos Poggi (L) tackles Kenya's Willy Ambaka during an IRB World Series Sevens rugby union match in Dubai on November 30, 2012. AFP By AYUMBA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Usajili Abdall Bin Kleb (kushoto) akiongea na wandishi w ahabari leo makao makuu ya klabu, kulia kwake ni kocha mkuu Ernie Brandts TAARIFA KWA VYONBO VYA...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom