Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
TFF walilazimisha nafasi ya MSEMAJI wa klabu iwepo kwa vilabu vyote vya soka na kuajiri mtu anayefaa kwa kazi hiyo, cha ajabu vilabu hivi viwili (mie huviona ni vyama vya siasa) hutawasikia na badala yake kwa mfano:-
1. Simba - Rage (mwenyekiti) na Kiwelu aka Julio aka Mourinho aka n.k (kocha msaidizi!!!!!!!).
2. Yanga - Manji (mwenyekiti) au katibu na kwa nadra mno msemaji wa klabu.
Sasa TFF wapo kufuatilia vilabu vinafuata katiba lakini wapo kimya kwa hili sijui maana yake nini. Huwezi kusikia vilabu kama Mtibwa, Azam, Toto, Coastal n.k. mwenyekiti au katibu akifafanua jamba la klabu. Mara nyingi husikika wasemaji wake.