Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yupi mjanja kati ya aliyetoka nawe 0-0 mwenzako akampiga 2-1 au unamfunga 3-1 mtu aliyepigwa 3-0 na mwenzio. CHEZEA MNYAMA WEWE
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia jumapili majira ya saa 10 usiku mchezaji mwenzetu Ambrose Mwingira (ayoyi) amefariki dunia kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ayoyi alikua anaumwa malali jambo lillilopelekea kulazwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BARCLAYS CENTER Barclays Center ni uwanja wa basket ball utakaotumiwa na Brooklyn Nets zamani New Jersey Nets, Timu hii hipo chini ya Jay Z na tajiri mwingine wa Russia Mikhail Prokhorov. Uwanja...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyoeleza hapo,timu hizi leo zimeingia uwanjan pasipo kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamin wa Ligi kuu TANGANYIKA,,,,, Ikumbukwe kuwa afrikan Lyon walikatazwa kuvaa jez za mdhamin...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kocha Minziro leo amefanya mabadiliko kidogo sana kutoka katika kikosi kilichoishushia dhahma JKT Ruvu kwenye mchezo ambao Yanga walianza ligi rasmi. Kwaufupi wachezaji walioanza leo ni:- 1...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya Majimaji na Tanesco ya Songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia usiku wa kuamkia jumapili tarehe 30/10/2012. kwa mujibu wa familia Ambrose alikua anasumbuliwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
USA Walizwa na Europe Golf zile Chants za USA! USA! USA! Zimekauka.
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Super Sport wametuwekea Live Simba -0 na Prison - 1 lkn tumeenda wapi? Fulham v/s ManCity? Au Everton -0 v/s soton -1 au au tupo Readings v/s NCastle muwe mnarudi nyumbani
1 Reactions
21 Replies
11K Views
MASHABIKI WALIOKIMBILIA MANCHESTER CITY JIANDAENI KWA HILI Patrick Viera says Manchester City have put their big-spending days behind them and are now looking to develop their own...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wahenga walisema mtu akishaumwa na nyoka akiona unyasi tu anashtuka,ndicho kilichotokea kwa beki mahiri wa kushoto wa Club bingwa ya Tanzania Bara Simba S.C na team ya Taifa ya Tanzania Taifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olympic Tanzania Mzee Erasto Zambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake ubungo kibangu DSM habari zaid simu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
klabu ya yanga usiku huu imempokea kocha wake mpya kutoka uholanzi ndg. Johannes Brandts (yule aliyefukuzwa APR). Lakini safari hii imekua tofauti na ilivyozoeleka, ujio wake umekuwa wa kawaida...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanariadha wa Kenya wameshinda nafasi 9 za mwanzo Berlin Marathon. Hongera Wasee!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Wana JF....! Leo sina mengi ila kuna jambo nimelisoma kwenye magazeti kadhaa ya Leo kwamba Kibopa mmoja wa Yanga ameandaa milioni 100 kama timu yao itamfunga Mnyama....Nikafikiria...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Tangu nimeanza kufatilia soka la bongo,mwaka 1990,sijawahi kusikia mchezaji kutoka yanga akishinikiza kwenda simba,bali nimeshuhudia wa simba wakingangania kuvaa uzi wa YANGA tena wakiwa kwenye...
3 Reactions
41 Replies
10K Views
Barcelona ilisubiri hadi dakika ya 53 kuanza kufuta mabao mawili ya Sevilla yaliyofungwa na Trochowski(dk 26) na Negredo(dk 51) na kuongeza moja. Hivyo,Barcelona wakaibuka na ushindi wa 3-2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Arsenal Lineup [4-2-3-1] 24 V. Mannone 25 C. Jenkinson 5 T. Vermaelen 6 L. Koscielny 28 K. Gibbs 8 M. Arteta 2 A. Diaby 16 A...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunaitaji vichwa vyenye akili kama hivi michael richard wambura...labda mtajiuliza kwa nini nasema hivi soma vichekesho kipindi cha michezo juzi alilizwa sheria zitakazotumika kupitisha wagombea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
SILVERADO, Calif. – On the morning Grant Desme ceased to exist, he was at peace. He spent years searching for serenity, convinced it was coming soon, next, now. It never did. Life was a blaring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magoli ya John Boko "Adebayor" na ndugu wawili Kipre Herman Tchetche na Kipre Michael Bolou yameipa Azam ushindi wa 3-0 dhidi ya team ya JKT Ruvu na kushikilia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom