Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wahenga walisema mtu akishaumwa na nyoka akiona unyasi tu anashtuka,ndicho kilichotokea kwa beki mahiri wa kushoto wa Club bingwa ya Tanzania Bara Simba S.C na team ya Taifa ya Tanzania Taifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kamati ya Olympic Tanzania Mzee Erasto Zambi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake ubungo kibangu DSM habari zaid simu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
klabu ya yanga usiku huu imempokea kocha wake mpya kutoka uholanzi ndg. Johannes Brandts (yule aliyefukuzwa APR). Lakini safari hii imekua tofauti na ilivyozoeleka, ujio wake umekuwa wa kawaida...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanariadha wa Kenya wameshinda nafasi 9 za mwanzo Berlin Marathon. Hongera Wasee!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu Wana JF....! Leo sina mengi ila kuna jambo nimelisoma kwenye magazeti kadhaa ya Leo kwamba Kibopa mmoja wa Yanga ameandaa milioni 100 kama timu yao itamfunga Mnyama....Nikafikiria...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Tangu nimeanza kufatilia soka la bongo,mwaka 1990,sijawahi kusikia mchezaji kutoka yanga akishinikiza kwenda simba,bali nimeshuhudia wa simba wakingangania kuvaa uzi wa YANGA tena wakiwa kwenye...
3 Reactions
41 Replies
10K Views
Barcelona ilisubiri hadi dakika ya 53 kuanza kufuta mabao mawili ya Sevilla yaliyofungwa na Trochowski(dk 26) na Negredo(dk 51) na kuongeza moja. Hivyo,Barcelona wakaibuka na ushindi wa 3-2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Arsenal Lineup [4-2-3-1] 24 V. Mannone 25 C. Jenkinson 5 T. Vermaelen 6 L. Koscielny 28 K. Gibbs 8 M. Arteta 2 A. Diaby 16 A...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunaitaji vichwa vyenye akili kama hivi michael richard wambura...labda mtajiuliza kwa nini nasema hivi soma vichekesho kipindi cha michezo juzi alilizwa sheria zitakazotumika kupitisha wagombea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
SILVERADO, Calif. – On the morning Grant Desme ceased to exist, he was at peace. He spent years searching for serenity, convinced it was coming soon, next, now. It never did. Life was a blaring...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magoli ya John Boko "Adebayor" na ndugu wawili Kipre Herman Tchetche na Kipre Michael Bolou yameipa Azam ushindi wa 3-0 dhidi ya team ya JKT Ruvu na kushikilia usukani wa ligi kuu ya Tanzania Bara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKATI michezo mikongwe ya kihistoria ya Olimpiki iliyoasisiwa na wazee wa Kigiriki inatimiza karne moja na miaka 10, Tanzania ina miaka 44 katika ushiriki wake. Lakini tangu Tanzania ianze...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
NEW YORK (AP) -- Referee Gene Steratore turned on his microphone to greet the captains of the Cleveland Browns and Baltimore Ravens for the pre-game coin toss. "Good evening, men," Steratore said...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Mabao mawili ya Shaarawy yalitosha kuipa ushindi wa pili AC Milan dhidi ya Cagliari. Ni ushindi wa pili wa msimu huu kwa mechi tano. Sasa Milan yashika nafasi ya kumi. Wakati huohuo,mshambuliaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC imepigwa 1-0 na Berekum Chelsea kwa bao lililopigwa dakika ya 80 na Opoku.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tukiwa tunajiandaa kwa mtanange kati ya Liverpool v Man U kwenye Barclays EPL siku ya jumapili keshokutwa tarehe 23 September kuanzia saa 9.30 alasiri, si vibaya tukafanya mapitio na kulinganisha...
0 Reactions
86 Replies
6K Views
wanajamvi mafuns wa man u vp tutatokaje kwa newçastle?
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Wanajf naomba mwenye link ya kupata wimbo wa man united atoe tuweze kufaidi pamoja! GLORY GLORY MAN UNITED!! Natanguliza shukran za dhat!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naombeni mwenye namba ya mult choice tanzania anisaidie me nipo mkoani na na matatizo ya kiufundi na decoder na card yangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, naomba kujuzwa kuhusu sheria za mpira wa wavu(volleyball). Natumaini kupitia wana sport wa hapa JF mtanijulisha kwa ufasaha. Natanguliza shukrani,.
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Back
Top Bottom