Simba ssc vs liboro wataweza kweli?

Simba ssc vs liboro wataweza kweli?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
kama wanatuaibisha mikoani je nje ya nchi wataweza kupambana?
 
Attachments

  • tozi origino2.jpg
    tozi origino2.jpg
    93 KB · Views: 93
Hapa kazi tunayo ila lolote katika soka linaweza tokea
 
Inabidi kujipanga sana kabla ya kuwavaa Waangola. Benchi la ufundi linatakiwa kuwa makini zaidi sasa kuliko wakati wowote.
 
Ambayo tunayaona kwa simba ni mazoezi kwa ajili ya Liboro, Simba huiona ni heshima kubwa kuliko timu yeyote hapa Tanzania na kupanga zaidi kwa kuifunga timu ya nje ya nchi kuliko kitu kingine chochote. Kwa simba inatumia michezo ya ndani kwa gharama ya kutoka suruhu hata wakati mwingine kufungwa ilhali hapo baadae iwafunge wageni. utaona wewe mwenyewe yatakayofanyika watakapocheza na Liboro. Simba ni kiboko cha wageni.:target:
 
unakalili kama wapiga kura wa ccm,we shall see how
 
Attachments

  • tozi origino2.jpg
    tozi origino2.jpg
    93 KB · Views: 52
mi napenda simba ifungwe tuu,kwa lile alilofanya RAGE Dodoma sikulipenda kabisa.na kuanzia leo nawasapport Mpira Pesa wanaotaka RAGE atoke simba.
 
Nilifikiri unaamia yanga!!! Kweli nimeamini bila uongozi imara simba itayumba! Na kiongozi bora atatoka simba!!! Zidumu fikra za mwenyekiti
 
mi napenda simba ifungwe tuu,kwa lile alilofanya RAGE Dodoma sikulipenda kabisa.na kuanzia leo nawasapport Mpira Pesa wanaotaka RAGE atoke simba.
hahaha kuna jezi ya yanga hapa nilitaka kumhonga demu fulani ni PM nikupatie
 
Back
Top Bottom