Wimbo wa nssf

Wimbo wa nssf

TODO

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
219
Reaction score
63
Wazee wa leka dutigite mmetisha kwa kwel.kwa wasiojua leo kwenye ukumbi wa aicc nssf wamezindua wimbo wao rasmi ulioibwa na kigoma all star.kwa kweli kwa mtazamo wangu wametisha sana.chege chibunda amenikosha na wote kwa ujumla.

nawasilisha
 
hii nchi kweli imepoteza uelekeo watu wanaacha mambo ya msingi wanaimba bongo flavour
 
Back
Top Bottom