Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Jana kwenye UCL kati ya Real Madrid na Manchester United SS3 waliniduwaza mwanzoni kwenye mahojiano baada ya prematch kwa kumuonesha Jose Mourinho ni 'headcoach' na Alex Ferguson ni 'manager'.
Wakati wa kuonesha 'lineups' kibao kikabadilika na kuwaonesha wote ni 'coach', sasa mwenye utambuzi hapa atiririke kufafanua tofauti hiyo.
Wakati wa kuonesha 'lineups' kibao kikabadilika na kuwaonesha wote ni 'coach', sasa mwenye utambuzi hapa atiririke kufafanua tofauti hiyo.