AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

AFCON 2013: Closing ceremony and Finals

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,653
Sherehe za kufunga AFCON 2013 ndo zinaendelea....

Performance ni nzuri sana....


Match imekwisha na Nigeria ndiyo mabingwa wapya wa Afrika kwa 2013...

Final score: NGA 1 - BFA 0



Mod naomba msiunganishe na uzi mama kwa sasa

00151053:21ad51289c3262e1f0839c65c7c6c62f:arc614x376:w614:us1.jpg



NationalStadium.jpg.ashx



attachment.php

photo.jpg
 

Attachments

  • photo 2.jpg
    photo 2.jpg
    27.6 KB · Views: 87
Performance ya hawa jamaa ni nzuri sana....

Kuna dogo amepiga suruali nzuri sana na shati lake la bluu anapiga performance ya ukweli...
 
D'Banj kutoka Nigeria anapiga wimbo wake wa Oliver Twist

 
Last edited by a moderator:
Timu ndo ziko uwanjani,

Zuma anakuja kusalimiana na wachezaji.
 
Wimbo wa Taifa wa Nigeria umeisha....

Sasa ni Burkina...
 
Nigeria wanaonesha kukamia sana....ila sitashangaa kama wakipigwa bao kwa sababu hawa wa Burkinabe wanatumia msuli zaidi...

Halafu huyu Zuma kasalimia hata wachezaji wa ziada...hivi huwa ni kawaida kweli??
 
Match imeshaanza na Nigeria wamesalimai goli la Burkina...
 
Njoo ndo inaanza, nitakuwa natangaza kwa udhamini wa Chibuku na mnazi


Huyu pacha yangu Rock City naona hajamalizana na watu wa Multichoice.....

Bahati nzuri M-pesa inafanya kazi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom