Real madrid 1 vs manchester united 1

Real madrid 1 vs manchester united 1

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Real Madrid supporters YESTERDAY
- Real Madrid
- Manchester City
- Chelsea
- Spurs
... - Arsenal
- Everton
- Swansea
- West Brom
- Liverpool
- Stoke
- West Ham
- Fulham
- Sunderland
- Norwich
- Southampton
- Newcastle
- Aston Villa
- Reading
- Wigan
- QPR

Manchester United supporters:
- Manchester United
- Barcelona
 
na refereee kumaliza mpira kbla ya muda...
 
Ziliongezwa dakika tatu ilipofika tatu kamaliza mpira.
Hii sio epl
 
Uzuri wa ulaya hamna kujidanganya kuwa kuna ugenini,kinachoangaliwa ni fursa na makosa ya wapinzani so hamna kujiliwaza ila tu kama inawezekana ni kujipanga
 
Kweli kabisa mkuu Wakuru;
Jana watani zetu Man Utd, walizidiwa sana..uzuri ni kwamba walitumia nafasi waliyopata vizuri.

Man Utd, hutegemea sana mabeki wa pembeni, Rafaeli na Evra..lakini jana ilikuwa kinyume:
Mtu ambaye jana alisumbua sana Madrid ni Welbeck..saafi sana.
Lakini jana Man Utd, walichoka sana..Di Maria, Ozil, Ronaldo, Khedira..ilikuwa hakuna nafasi ya kupumua..

Kwa 50%, Man Utd watafungwa gemu ya marudiano:
 
Ziliongezwa dakika tatu ilipofika tatu kamaliza mpira.
Hii sio epl
Kama kweli uliangali mechi Refa alimaliza game baada ya dk 2.57,na hakukuwa na sababu ya msingi kumaliza mpira kabla ya kona

Kila la heri Uropa Cup
 
Ukiona kipa ndo anakuwa man of the match basi ujue hali ilikuwa si nzuri. Sikupenda jinsi Man u walivyocheza na sikuelewa kwann kocha alichelewa kufanya mabadiliko. Hakika tumeponea tundu la sindano na game ya marudiano madrid wajiandae vilivyo kwani old traford ni machinjioni
 
Back
Top Bottom