Michezo ya vyuo vikuu EAC

Michezo ya vyuo vikuu EAC

Kikombo

Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
60
Reaction score
49
VYUO vikuu vya Tanzania vimechemka katikamashindano ya Afrika Mashariki yaliyomalizika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu chaDar es Salaam (UDSM), baada ya kumaliza nafasi za mwisho kwenye michezo yote.Katika mashindano hayo yaliyoanza kutimua vumbiFebruari 8, mwaka huu, wenyeji wameambulia patupu katika michezo ya mpira wameza, kikapu, taekwondo, vinyoya, mikono, kuogelea, wavu, netiboli, tenisi nasoka, huku vyuo kutoka Kenya na Uganda viking’ara. Tanzania iliwakilishwa navyuo saba huku Kenya na Uganda zikiwa na vyuo 17 kila nchi.Kwenye kuogelea, Chuo Kikuu cha Kampalakilikamata nafasi ya kwanza huku Kenyatta ikifuata na nafasi ya tatu ikiendakwa Ndejje vyote kutoka Kenya, wakati netiboli, Nkumba waliibuka malkia wamchezo huo wakifuatiwa na Kampala na Makerere vyote vya Uganda.KWANINI KILA SEHEMU TUNASHINDWA NA JIRANI ZETU????
 
Kikombo, acha kukurupuka: "KWANINI KILA SEHEMU TUNASHINDWA NA JIRANI ZETU???

taja sehemu ambazo tunashindwa na jirani zetu.

The question is not what you look at, but what yousee.
 
Back
Top Bottom